Kagame complains of inaction on DR Congo rebels

Kagame complains of inaction on DR Congo rebels

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,699
Reaction score
9,591
023427-01-02.jpg

Rwanda's President Paul Kagame voiced renewed frustration over what he complained was long-term inaction over Rwandan Hutu rebels in the Democratic Republic of Congo.

Rwanda's president on Thursday voiced renewed frustration over what he complained was long-term inaction over Rwandan Hutu rebels in the Democratic Republic of Congo.

President Paul Kagame said even though the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) had missed a deadline to disarm and were now facing an offensive by the United Nations mission in the DR Congo, Monusco, he was far from optimistic about the prospect of decisive action.

The FDLR is estimated to include between 1,500 and 2,000 ethnic Hutu fighters, some of whom are accused of having participated in the 1994 Rwandan genocide which left close to a million people dead, mainly ethnic Tutsis.

Opposed to President Kagame's Tutsi-dominated government, they have been based across the border in eastern DR Congo since the genocide, and are accused of staging brutal attacks on civilians, including rapes and murders, and smuggling gold and charcoal.

Kagame told a news conference he was not confident "that things are going to work out the way they should."

"We've been with the FDLR for decades ... and what has been playing out relating to the FDLR has not been helpful at all," he said.

He accused regional players of making "all kinds of excuses when it comes to (dealing with the) FDLR," including saying there are children and civilians among them.

"When it comes to the FDLR, it's like, you know, let's wait," he said.

Monusco head Martin Kobler said last week the UN and DR Congo forces were prepared for a confrontation with the rebels after they missed a January 2 deadline to turn themselves in. Last week DR Congo's government also said the forced disarmament of the FDLR was now "the only option".

Source:theeastafrican
 
UPDF wameshindwa na Joseph Kony mpaka wameomba msaada USA.KDF Alshabab kila siku wanauliwa kama kuku,RPF ya Kagame huu ni mwaka 20 wameshindwa FDLF.Tanzania imekwenda Congo ndani ya miezi miwili M23 wamefutika kabisa wapo kwa mjomba wao Kagame na M7 wanakula matoke hawana hamu na JWTZ mziki wake hauna mfano East,Central and Southern Africa.

Ha ha ha KDF ni wajuzi wa kukwapua vitu vita hawawezi.

COW is ready and willing to neutralize FDLR. Tumechoka inaction. Kagame complains of inaction on DR Congo rebels - News - www.theeastafrican.co.ke
 
Afu mbona hiyo habari kwenye link haija mention CoW...
Huo ni mtazamo wako au wewe ni msemaji wa PK?
 
Watutsi waoga sana,,, let me laugh loud,, wanajua hao wahutu wakitia team Chigali kitanuka,, kagame ana jamba jamba,,,
 
Watutsi waoga sana,,, let me laugh loud,, wanajua hao wahutu wakitia team Chigali kitanuka,, kagame ana jamba jamba,,,
ningekuwa rais, kagame ningemfuata chigali, ningetoa kipigo kwa wanajeshi wake na yeye ningeamuru aletwe mbele yangu akiwa hai, na kabla sijammaliza ningemtafutia mabansa wamle tigo kwanza. ni takataka iliyoua watu wengi lakini anajificha nyuma ya pazia. hafai hata kuigwa.
 
Hivi kwa Nini kagame asitie timu WENYEWE eastern DRC ili kuwapa kipondo FDRL. Kama anaona Itakuwa ngumu awaalike wenzake CoW.
 
Kagame kupitia RPF na M23 walikuwa na chance long time kufagia hao waasi wameshindwa...wanalalama nini? wanataka kuponea kupitia JWTZ ......
 
JWTZ ilienda DRC kusaidia serikali ya Kabila waasi m23 ambao walkuwa threat kwa serikali yake. Sasa Kagame anataka JWTZ iwapige FDLR kwa misingi ipi? FDLR is not threat to DRC government kwa hiyo kazi ya JWTZ huko DRC ni kupambana na anaetaka kuhatarisha amani ya DRC. So long as FDRL haihatarishi amani ya DRC kama ilivokuwa ikifanya M23 there is no need of fighting, kama Kagame anaona Kigali ndiyo inayohatarishwa na FDRL basi aende mwenyewe na Rwanda Defence Force yake akawatimue mwenye
 
Aende kwani hajitaki? Au ana roho ya kujitoa muhanga? Jeshi lake dogo, likipunguzwa huko, nani ataulinda utawala wake?
 
ningekuwa rais, kagame ningemfuata chigali, ningetoa kipigo kwa wanajeshi wake na yeye ningeamuru aletwe mbele yangu akiwa hai, na kabla sijammaliza ningemtafutia mabansa wamle tigo kwanza. ni takataka iliyoua watu wengi lakini anajificha nyuma ya pazia. hafai hata kuigwa.

Huyu jamaa ni criminal mkuu. Nafikiri sasa ni muda wake wa mwisho mwisho. Mbaya zaidi amewatibua wababe wa afrika. TZ, SA na SADC kwa ujumla
 
JWTZ ilienda DRC kusaidia serikali ya Kabila waasi m23 ambao walkuwa threat kwa serikali yake. Sasa Kagame anataka JWTZ iwapige FDLR kwa misingi ipi? FDLR is not threat to DRC government kwa hiyo kazi ya JWTZ huko DRC ni kupambana na anaetaka kuhatarisha amani ya DRC. So long as FDRL haihatarishi amani ya DRC kama ilivokuwa ikifanya M23 there is no need of fighting, kama Kagame anaona Kigali ndiyo inayohatarishwa na FDRL basi aende mwenyewe na Rwanda Defence Force yake akawatimue mwenye

Kuna wazee wa jenosaidi humu walisema deadline ikifika rwanda yenyewe itaenda kuwatandika hao jamaa. sasa sijui wameishia wapi?
 
kabila ndio anachelewesha kusaini anapima upepo kwanza. FDLR hawana shida na DRC wana shida na Rwanda, wakiachwa kama walivyo hakuna tatizo, ila kila wakipigwa huwa wanaoumia ni wacongomani. anaangalia busara ya kutumia katika hili.
 
Jwtz hawakufundishwa kumwaga damu isiyo na hatia, hvyo FDRL wale bata tu

Kelele za kagame n upepo tu unapita
 
Kuna wazee wa jenosaidi humu walisema deadline ikifika rwanda yenyewe itaenda kuwatandika hao jamaa. sasa sijui wameishia wapi?

Hivi unaamini kama RDF wanawaweza FDRL, kama walikwenda mwaka 1996 tena kwa msaada wa Uganda wakashindwa kuwamaliza, wakaja akina Laurent Nkunda na Bosco Ntaganda nao wakachemka itakuwaje kwa Rwanda yenyewe? Nakuambia ni siri nzito hata ile ya 1994 kuwashinda xFAR kulikuwa na watu nyuma yao tena wenye nguvu kubwa.
 
Back
Top Bottom