Kagame aanza vituko


ahaha...mmeshindwa kuiondoa ccm madarakani..eti FDLR wataiondoa RPF madarakani?hilo sahau kabisa...kwa mtutu au uchaguzi FDLR hawezi kitu watarudi wote mikono juu,mbona wamesaidiwa na nchi nyingi na mpaka leo wamomaporini na ndani ya mashimo kama panyabuku.
 
Jk alimwambia aongee nao akagoma sasa jumuia ya kimataifa imemtaka aongee nao na wameweka deadline kagame yuko katika hatua za mwisho za utawala wake hata kama akihonga wahariri wa the east african wampigie international propaganda

Hakuna anayeweza kuthubutu kuwambia wanyarwanda kuongea na GENOCIDERS isipokua washirika wa FDLR.
 
Siasa za tanzania?siasa za kike tu,umbea na majungu hizo ndizo siasa za tanzania,na pk ni mwanaume hawezi kushiriki siasa za kinafiki.
Sasa, kagame ana siasa gani? Hivi ashawai kufanya ata campaign kweli nchin mwake? Kweli hawezi kufanya siasa za kinafiki ila kukata mzizi wa fitina ni kunyonga na kuwapoteza wapizani wake.
 

aa wapi ccm wapinzani wanamtukana rais anawaita ikulu wanapata juice. sasa huko kwenu mr.slim ni kuua tu
 
Eeehhh kama wanachoma choma hovyo majengo ku attract international attention hiyo nchi si salama...unaweza kujikuta ni victim wa hiyo drama...
This's some old shit of sabotage... yaani wapo several miles behind when it comes of what they'd do to implicate FDLR to the point everyone, or at least every common mind will believe it's the work of FDLR while not!! Better for them kama sio sabotage but if it is, ten it's very childish.
 

Hatuwezi waondoa ccm madarakani kwa saabu ccm ndo kiboko ya pk ..ccm a.k.a intarahamwe
 
Hatuwezi waondoa ccm madarakani kwa saabu ccm ndo kiboko ya pk ..ccm a.k.a intarahamwe

hahaha...CCM a.k.a interahamwe,kumbuka pk alisema it is matter of time,he will hit you at the right place,there is a line you cant cross,sasa kama huo ujumbe hamjaupata basi mtakua na tatizo,tusiandikie mate...try and you will see.
 
aa wapi ccm wapinzani wanamtukana rais anawaita ikulu wanapata juice. sasa huko kwenu mr.slim ni kuua tu

ahaha..huo ni upinzani wa tumbo tu,siunajua waswahili wanavyopenda msosi!huo siyo upinzani.
 
Sasa, kagame ana siasa gani? Hivi ashawai kufanya ata campaign kweli nchin mwake? Kweli hawezi kufanya siasa za kinafiki ila kukata mzizi wa fitina ni kunyonga na kuwapoteza wapizani wake.

Hebu niambie wapinzani halali walio uwawa na pk au yeyote yule anayeitwa mpinzani,naikathibitishwa kwamba waneuwawa na pk,na wengi wanafia nje ya nchi,wana inteligency zao,niambie wamesema nini?
 
hakuna anayeweza kuthubutu kuwambia wanyarwanda kuongea na genociders isipokua washirika wa fdlr.

kagame anajifanya anapenda demokrasia na anashinda kwa asilimia tisini na tisa sasa kwa nini anawaua wapinzani wake wanaotaka kugombea na kuiba kura sasa kama anapata ushindi wa hivyo si amwachie huru bi victoria ingabile na amruhusu nyamwasa na wenzie waje waendeshe siasa huru na kura ziamue
 

Lakini nilifikiri na wewe ni msomi,victoria hakuwekwa gerezani na pk,ni sheria inayomuweka ndani,sasa subirini sheria ifanye kazi,victoria aliye shirikiana kuunga mkono na GENOCIDERS na babu seya aliyebambikiwa kesi na kuozea gerezani yupi kaonewa?
 

Je unajua sheria za kijeshi?hao akina kuyumba unaosema walifanya makosa jeshini hakuna aliye wazuia kurudi rwanda bali wao wanaogopa sheria,na lazima wasimamishwe mbele ya sheria kutokana na makosa yao,hili ndio tatizo la waafrika akifuatiliwa kwa makosa hukimbia na kujifanya mpinzani,tanzania hakuna wapinzani kwani wanalindana hakuna anayeulizwa,wakikuchoka wanakuloga unakufa na watakufa sana kwani hiyo mialiko ya ikulu siyo bure,nakupenda msosi mtaisha.
 
Viongozi wa kiafrika bhana shida sana.................
 

Ha ha ha ha!
We bwana unachekesha sana.
 

FDLR wanakuja kuchukua nchi kwahiyo utulie we mtutsi


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 

Mimi sina hisia nyingi kama ww mkuu!

Embu jibu apa
Sio kweli kwamba pk anasapoti mapigano drc?

Si kweli kwamba pk ameshiriki mauaju rwanda.

Si kweli kwamba pk anawaua wapinzani wake kisiasa?

Nilichozungumza mim b kwamba Pk amabaye nlifikiri kama hero such kama Nkwame,Nyerere,mandela sio.

Et leo hii anaiona tanganyika wajinga? Kasoma kwetu,kaishi kwetu!

Kingine landa unachotaka kusema.
 
TISS kiboko.....Kagame aombe msamaha kiroho safi asamehewe......Joyce Banda alijifanya jeuri.....yuko wapi? Kagame ananyooshwa taratibu....uzuri hata yeye anajua hilo ila kaamua kufa kiume......Kagame fanya wepesi mambo yaishe maisha yasonge mbele....
 

hahahaha mkuu i thought you said i was in eastern DRC with my fellow FDLR....when did i go to "chigali"?
 
ahahahahhha ...yani wewe unalinganisha pk na joyce banda? kweli tanzania munauwezo wa ku deal na watu kama joyce banda,kwanza ni SADC Wachovu,lakini sahau pk yule ni team nyingine si size yenu.
 

jibu yote si kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…