S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,206 Reaction score 162,774 Aug 9, 2023 #1 Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!! Shauri yenu na majungu yenu.
Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!! Shauri yenu na majungu yenu.
P parolko tarantura Senior Member Joined Mar 28, 2023 Posts 165 Reaction score 256 Aug 9, 2023 #2 Wivu ukikuzidi mwisho unakua mchawi,,
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,052 Reaction score 8,298 Aug 9, 2023 #3 Pre season hiooo.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,816 Aug 9, 2023 #4 kwa hili pira liliopigwa na yanga kuna timu kesho itaiachia singida iwafunge ili kujinusuru na aibu
RASHIDI OMARY JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 524 Reaction score 501 Aug 9, 2023 #5 Half american said: kwa hili pira liliopigwa na yanga kuna timu kesho itaiachia singida iwafunge ili kujinusuru na aibu Click to expand... Yanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana
Half american said: kwa hili pira liliopigwa na yanga kuna timu kesho itaiachia singida iwafunge ili kujinusuru na aibu Click to expand... Yanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Aug 9, 2023 #6 Salary Slip said: Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Click to expand... Simba anaweza kukwama kwa Singida FG, lakini si kwa timu yoyote kati ya hizi mbili zilizocheza leo
Salary Slip said: Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Click to expand... Simba anaweza kukwama kwa Singida FG, lakini si kwa timu yoyote kati ya hizi mbili zilizocheza leo
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,208 Reaction score 18,226 Aug 9, 2023 #7 Tunafurahia sababu Kwa Yanga hii faina tunawakwanyua nne mapema!
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,816 Aug 9, 2023 #8 RASHIDI OMARY said: Yanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana Click to expand... tunawangojea hao waliomtanguliza azam nao watuonyeshe uregevu wao
RASHIDI OMARY said: Yanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana Click to expand... tunawangojea hao waliomtanguliza azam nao watuonyeshe uregevu wao
Majok majok JF-Expert Member Joined Aug 3, 2023 Posts 783 Reaction score 2,058 Aug 9, 2023 #9 RASHIDI OMARY said: Yanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana Click to expand... Azam wamelegezwa sio wamelegea, umekutana nae mara ngapi na anakulamba kama ice cream? Azam kakutana na kisiki ndio maana unaona kalegea but ungecheza nae wewe ulikuwa unatupwa nje ya michuano leo leo
RASHIDI OMARY said: Yanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana Click to expand... Azam wamelegezwa sio wamelegea, umekutana nae mara ngapi na anakulamba kama ice cream? Azam kakutana na kisiki ndio maana unaona kalegea but ungecheza nae wewe ulikuwa unatupwa nje ya michuano leo leo
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 9,770 Reaction score 20,464 Aug 9, 2023 #10 Binafsi pamoja na kwamba mpira una MATOKEO MATATU . Changamoto kubwa ya AZAM NI KUMKOSA JEMEDARI SAID KAZUMARI MTIPA KAMA MANAGER WA TIMU. AZAM ATAENDELEA KUPOTEZA MNO. Msimpe Azam kabisa kwa yanga.
Binafsi pamoja na kwamba mpira una MATOKEO MATATU . Changamoto kubwa ya AZAM NI KUMKOSA JEMEDARI SAID KAZUMARI MTIPA KAMA MANAGER WA TIMU. AZAM ATAENDELEA KUPOTEZA MNO. Msimpe Azam kabisa kwa yanga.
muokotamatunda JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 1,614 Reaction score 1,203 Aug 9, 2023 #11 Tunisia walienda kufanya Nini hawa
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,063 Aug 9, 2023 #12 Salary Slip said: Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!! Shauri yenu na majungu yenu. Click to expand... Uzi umeanzisha mwenyewe halafu unaihusisha Simba hivi gongowazi nani amewaroga?
Salary Slip said: Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!! Shauri yenu na majungu yenu. Click to expand... Uzi umeanzisha mwenyewe halafu unaihusisha Simba hivi gongowazi nani amewaroga?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,975 Reaction score 75,063 Aug 9, 2023 #13 Half american said: kwa hili pira liliopigwa na yanga kuna timu kesho itaiachia singida iwafunge ili kujinusuru na aibu Click to expand... Sisi raha yetu ni kuifunga Utokolo
Half american said: kwa hili pira liliopigwa na yanga kuna timu kesho itaiachia singida iwafunge ili kujinusuru na aibu Click to expand... Sisi raha yetu ni kuifunga Utokolo
qarem JF-Expert Member Joined Oct 19, 2018 Posts 626 Reaction score 829 Aug 9, 2023 #14 Hawa walioenda Uturuki kukuza wowowo wasikusumbue Boss
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,131 Reaction score 14,604 Aug 9, 2023 #15 muokotamatunda said: Tunisia walienda kufanya Nini hawa Click to expand... Kuuza sura
qarem JF-Expert Member Joined Oct 19, 2018 Posts 626 Reaction score 829 Aug 9, 2023 #16 RASHIDI OMARY said: Yanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana Click to expand... Hujui mpira wewe...yanga imepiga ule msako wa sungura porini Azam walibana wakaachia!
RASHIDI OMARY said: Yanga kacheza mpira wa kawaida kabisa Azam wamelegea sana Click to expand... Hujui mpira wewe...yanga imepiga ule msako wa sungura porini Azam walibana wakaachia!
Jackson996 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2019 Posts 820 Reaction score 1,373 Aug 9, 2023 #17 Salary Slip said: Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!! Shauri yenu na majungu yenu. Click to expand... Mtani alikuwa anajua na sisi tunamuogopa Dube
Salary Slip said: Kwakeli nashindwa kuelewa hawa Makolo nini kinawasumbua kwani alifeungwa ni Azam halafu wao ndio wanaumia. Tuwasaidiaje? Ndio tumeanza hivyo, nyie endeleeni kumuwaza Mayele utadhani kao kwenu!! Shauri yenu na majungu yenu. Click to expand... Mtani alikuwa anajua na sisi tunamuogopa Dube
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Aug 9, 2023 #18 CAPO DELGADO said: Binafsi pamoja na kwamba mpira una MATOKEO MATATU . Changamoto kubwa ya AZAM NI KUMKOSA JEMEDARI SAID KAZUMARI MTIPA KAMA MANAGER WA TIMU. AZAM ATAENDELEA KUPOTEZA MNO. Msimpe Azam kabisa kwa yanga. Click to expand... Jamaa aligua mganga au ndio huo umeneja?
CAPO DELGADO said: Binafsi pamoja na kwamba mpira una MATOKEO MATATU . Changamoto kubwa ya AZAM NI KUMKOSA JEMEDARI SAID KAZUMARI MTIPA KAMA MANAGER WA TIMU. AZAM ATAENDELEA KUPOTEZA MNO. Msimpe Azam kabisa kwa yanga. Click to expand... Jamaa aligua mganga au ndio huo umeneja?
Pics JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 240 Reaction score 181 Aug 9, 2023 #19 Lupweko said: Simba anaweza kukwama kwa Singida FG, lakini si kwa timu yoyote kati ya hizi mbili zilizocheza leo Click to expand... Msikwame tafadhali
Lupweko said: Simba anaweza kukwama kwa Singida FG, lakini si kwa timu yoyote kati ya hizi mbili zilizocheza leo Click to expand... Msikwame tafadhali
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,816 Aug 9, 2023 #20 SAGAI GALGANO said: Sisi raha yetu ni kuifunga Utokolo Click to expand... sisi raha yetu ni kuchukua makombe
SAGAI GALGANO said: Sisi raha yetu ni kuifunga Utokolo Click to expand... sisi raha yetu ni kuchukua makombe