Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Tafunaila baada je mkuu?
Tafunaila baada je mkuu?
Mgalatia uliepotoka juwa kwamba kifunga kwetu ni KUJIZUIA ULIMI,MIKONO,MIGUU,UTUPU,MACHO, Na kila KIUNGONi binti flani hivi wa kiislam kwa sasa amefunga lakini amenitafuta anasema jioni anataka nikamdinye baada ya kufuturu,
Nilikuwa na muda sijakutana nae kwa sababu ya ubusy wa shughuli na ratiba zangu za ugegedaji kuwa tight kidogo,
Sasa naona amechokoza nyuki na mimi leo ni genye kweli kweli nipo hapa nafikiria sijui nakamtimdue au niache maana naweza kumuharibia swaumu yake.
Au inaruhusiwa kutindua baada ya kufuturu wakuu ?
Note.
Mimi sio muislamu ila yeye ndie.
Yupi kati haya wawili mkuu? Alieomba kugegedwa wakati amefunga au huyu mgegedaji?Huyu jamaa nikimkuta peponi asee hapatakalika. Nitaanzisha mtiti mpaka malaika washangae!
Mimi sio muislamu hayo hayanihusu nilishafunga funga yangu wakati wa kwaresma ila hofu yangu na kwa huyo ninaetaka kwenda kumdinya mkuu sitomfungulia swaumu yake kweli?Mgalatia uliepotoka juwa kwamba kifunga kwetu ni KUJIZUIA ULIMI,MIKONO,MIGUU,UTUPU,MACHO, Na kila KIUNGO
Hivyo vyote unavizuia na kila KINACHOMKERA Allah (sw)
NAONA FAKHARI KUWA MUISLAM
Wewe una IQ kubwa sana mkuu lengo la mada aswaa ni kujua kama ni halali papuchi kuliwa mara tu baada ya kufuturu haya mengine tutajua mimi na demu wangu.Tred yako hii wapo ambao wasiielewe,lakini ina mambo mengi ndani yake. Umeuliza vizuri sana. Yanatakiwa majibu kwa wajuzi wa hii. Je ni halali kufanya hivyo? Au sio sawa?. Wengi wanataka kufahamu hili
kwa kifupi tu ndugu yang umamwaribia saumu yake pia na yey hatakua mfungaji wa kiiman bali wa mkumbo..hajatimiza leng la swaum la kua wachamungu na ndo maan mwez huu utaon watu wanakua wachamungu kwel.. sas je huyo bint kwa mtindo huo tutamuwek fungu gan na nyie sio wanandoa?Mimi sio muislamu hayo hayanihusu nilishafunga funga yangu wakati wa kwaresma ila hofu yangu na kwa huyo ninaetaka kwenda kumdinya mkuu sitomfungulia swaumu yake kweli?
Uko vizuri sana. Umewasaidia wengi waliokosa pa kuulizia haya. Wengine bila kujua wanakuja na matusi. Uzuri wake matusi umeyazoea ndio mahala pako. (Halafu wewe lijamaa ndio umenifanya nijiunge jamii forum-serious naongea). (Ile thred nilicheka usiku mpaka kesho asubuhi. Halafu ningefurahi ukiitupia niirudie I see. Nakumbuka sana pale uliposema watamkuta shetani amevaa kaptura imechanika matakoni). Nacheka tena kwa sauti ahahaaaaaaa...!Wewe una IQ kubwa sana mkuu lengo la mada aswaa ni kujua kama ni halali papuchi kuliwa mara tu baada ya kufuturu haya mengine tutajua mimi na demu wangu.










Na vipi kwa wasiokuwa na Ndoa wataweza kuvumilia Ile tamaa ya mwili ikiwapata kwa nini isiwe ruksa kukutana walau mara moja tu mara baada ya kufuturu ila iwe kwa mchumba ambae atategemea kuwa nae mpaka mfungo unaisha na sio kwa kubadilisha badilisha.kwa kifupi tu ndugu yang umamwaribia saumu yake pia na yey hatakua mfungaji wa kiiman bali wa mkumbo..hajatimiza leng la swaum la kua wachamungu na ndo maan mwez huu utaon watu wanakua wachamungu kwel.. sas je huyo bint kwa mtindo huo tutamuwek fungu gan na nyie sio wanandoa?
NB; Kwa wanandoa baad ya kufuturu wanaruhusiw kutend ibada yao ya ndoa
Umejibu vizuri mkuu,hongera,umesaidia wengikwa kifupi tu ndugu yang umamwaribia saumu yake pia na yey hatakua mfungaji wa kiiman bali wa mkumbo..hajatimiza leng la swaum la kua wachamungu na ndo maan mwez huu utaon watu wanakua wachamungu kwel.. sas je huyo bint kwa mtindo huo tutamuwek fungu gan na nyie sio wanandoa?
NB; Kwa wanandoa baad ya kufuturu wanaruhusiw kutend ibada yao ya ndoa
unataka uhalalishe ZINAA hakuna dini inayoruhusu ZINAAA iwe n mfungo au miez mingine yoteNa vipi kwa wasiokuwa na Ndoa wataweza kuvumilia Ile tamaa ya mwili ikiwapata kwa nini isiwe ruksa kukutana walau mara moja tu mara baada ya kufuturu ila iwe kwa mchumba ambae atategemea kuwa nae mpaka mfungo unaisha na sio kwa kubadilisha badilisha.
Uko vizuri sana. Umewasaidia wengi waliokosa pa kuulizia haya. Wengine bila kujua wanakuja na matusi. Uzuri wake matusi umeyazoea ndio mahala pako. (Halafu wewe lijamaa ndio umenifanya nijiunge jamii forum-serious naongea). (Ile thred nilicheka usiku mpaka kesho asubuhi. Halafu ningefurahi ukiitupia niirudie I see. Nakumbuka sana pale uliposema watamkuta shetani amevaa kaptura imechanika matakoni). Nacheka tena kwa sauti ahahaaaaaaa...!![]()




katika kitu najivunia basi nikuona nimeinspire mtu ata mmoja kujiunga katika forum yetu pendwa iliyojaa kila Aina ya elimu, Vichekesho na udugu wa kusaidiana.Hakika mimi nilikuwa msomaji tu,ila ile thred yako ikabidi kesho yake nijiunge. Mpaka sasa ukitupia kitu hapa,naanza kucheka kwanza.katika kitu najivunia basi nikuona nimeinspire mtu ata mmoja kujiunga katika forum yetu pendwa iliyojaa kila Aina ya elimu, Vichekesho na udugu wa kusaidiana.