Habari zenu wana Jf,
nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.
Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi walishagundua na kukaa pamoja kuelezana kwamba wenza wetu wanafanya uzinzi. Wakakubaliana kuwafumania na kweli siku ya siku fumanizi likafanikiwa walichofanya ni kumpiga yule mwanaume sana hasa hasa kichwani mpaka damu imevilia kichwani na habari nilizopata hivi punde ni kuwa huyo kaka anapumulia oxygen machine once ikitolewa roho na mwili vinaachana.
Tupeane mawazo ikitokea ukamfumania mkeo/mumeo uamuzi mzuri ni upi? au walichfanya hawa mke na mume waibiwa kumpiga huyu baba mpaka kuwa hivi ni sawa?
Mwanamke naye alistahili kichapo. Fumanizi huwa silifagilii huwa nashangaa sana watu wanavyoandaa namna ya kumfumania mpenzi wako ili iweje, upige? kithibitisho?
yeah right, vipi kuhusu watoto kama wapo? wateseke bila wazazi sio?Namwombea huyo kaka afariki dunia ili sheria ichukue mkondo wake kwa hao walio mshushia kipigo
fumanizi lina raha yake mazee.. ushaona sura za waliofumaniwa zinavyokua??? khe khe heheheheeeeeeeeee....:tape:Mwanamke naye alistahili kichapo. Fumanizi huwa silifagilii huwa nashangaa sana watu wanavyoandaa namna ya kumfumania mpenzi wako ili iweje, upige? kithibitisho?
Nyamayao hata mimi napatwa na wasiwasi dada yangu isije ikawa hawa nao wanakamchezo kao nyuma ya paziamume wa mwanamke mwizi na mke wa mwanaume mwizi wlipanga huu mtego kama nimekusoma vizuri, huyu mwanamke wa huyo mwanaume mwizi alipatia wapi muda wakupuuzi hivyo wa kupanga yote hayo badala ya ku deal na mume wake?...anyway...cku zote mie ya kwangu ni yangu, ningekuwa mie ni huyo dada hata kupanga mambinu ya kijinga hivi nicngekuwa na muda nayo, ninge deal na mhucka wangu mwenyewe....
Kwenye hii kesi kuna watuhumiwa wawili what about the other(Mwanamke). Iweje wakubaliane kumpiga huyu mwanaume mpaka yuko kwenye hati hati ya kupoteza maisha sasa ina maana huyo mwanamke mke wa mtu ambaye naye kafumaniwa hana kosa??.....There is something fishy here
Ahaaa ahaaa nina wasiwasi mpaka wamefikia hatua ya kupanga fumanizi si ajabu tayari hawayani hao waliofumania nao hawajalana tu bado?? au ndio kunya anye kuku??:bored: