Kafulila acha kujifagilia mwenyeweKafulila ni mwanamapinduzi. Ana uwezo mkubwa wa kuangalia beyond NCCR. Tunakuomba uonyeshe uzalendo na ukomavu wako kwa kwenda kuwasaidia chadema kwenye kampeni Arumeru. Ukifanya hivyo imani ya wanachadema kwako itarudi na taswira yako kisiasa itazidi kung'aa
Hana jipya huyo acha akae na nccr yake atatuletea nuksiKafulila ni mwanamapinduzi. Ana uwezo mkubwa wa kuangalia beyond NCCR. Tunakuomba uonyeshe uzalendo na ukomavu wako kwa kwenda kuwasaidia chadema kwenye kampeni Arumeru. Ukifanya hivyo imani ya wanachadema kwako itarudi na taswira yako kisiasa itazidi kung'aa