Mkuu taarifa hii unatujuza wewe, mimi nilitaraji nilipoona heading ningekuta majina ya wenyeviti wote waliochaguliwa ili tuwe kwenye position nzuri ya kuchangia, kumbe wewe unauliza swali!
PAULSS , here are the names of the WATEULE
(i) Mwenyekiti wa kamati ya fedha na uchumi ni
Abdallah Kigoda
(ii) Mwenyekiti wa kamati ya katiba ,sheria na utawala ni
Pindi Chana
(iii) Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama ni
Edward Nyoyai Lowassa
(iv)Mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii ni
Magreth Sitta
(v) Mwenyekiti wa kamati ya maendeleo ya jamii ni
Jenista Mhagama
(vi)Mwenyekiti wa kamati ya ardhi, maliasili na mazingira ni
.
(viiMwenyekiti wa kamati ya kilimo,mifugo na maji ni
Prof.David Mwakyusa
(viiiMwenyekiti wa kamati ya Miundombinu ni
Peter Serukamba.
(ixMwenyekiti kamati ya hesabu za za serikali za mitaa ni
Augustino Mrema.
(x)Mwenyekiti wa kamati ya hesabu za mashirika ya umma ni
Zitto Kabwe
(xiMwenyekiti wa kamati ya heswabu za serikali ni
John Momose Cheyo.
(xMwenyekiti wa kamati ya viwanda na Biashara ni
Mahamoud
(xiiMwenyekiti wa kamati ya nishati na madini ni
January Makamba