Kafulila mahakamani

Kafulila mahakamani

izack

New Member
Joined
Apr 22, 2010
Posts
3
Reaction score
0
"Me ninajiuliza aliyemshauli huyu mwanasiasa kijana kwenda mahakamani naye akukabari"
je alifikilia nini cha msingi me naona kama aliwapigia magoti viongozi wake arudi tena wakae meza moja kabla hajapotea kama walivyotea wengine, naamini wazee na wanachama waliomfukuza watamsamehe.
 
kutokana na gharama ambazo taifa italiingia iwapo uchaguzi utafanyika naona ni jambo zuri kwa kafulila kwenda mahakamani,labda hii itatoa ahueni kwa serikali ambayo kwa sasa iko hoi kifedha.kesi itaendeshwa kwa muda wa miaka miwili na ushee kwa kipindi hiki serikali inaweza kuwa stable kiuchumi.kuhusu nani aliyemshauri:naamini tendwa ni mmoja wao na inawezekana serikali kupitia wasirra/pinda imehusika kumuelekeza kijana huyu nini cha kufanya.
 
madiwani wa arusha walishauriwa na Pinda lakini kesi yao sidhani km ilichukua hata miezi 3, mm najiuliza aina ya kesi atakayofungua kafulila itakuwa tofauti na waliyofungua madiwani? km inafanana basi kafulila atagonga mwamba km hazifani ngoja tusubiri tuone itakuwaje
 
Huyu dogo anafikiria kwa kutumia masaburi. Mahakama za bongo zinazomaliza kesi ndani ya miaka mi4 atajikuta anarudishiwa uanachama miezi miwili kabla ya uchaguzi wa 2015 halafu anagombea tena NCCR 2015 na kushinda, huku chama kikiwa kimekata rufaa, then chama kinashinda rufaa anavuliwa na ubunge wa 2015. Mgombea wa TLP Biharamulo alisubiri kesi hadi mauti yakamkuta. Kama anakubalika arudi tu CDM ambako wamesema hawakumfukuza, hakutakuwa na kupiga magoti na kulialia na kuuza uhuru wake na furaha kwa ajili ya madaraka.
 
labda serikali na mahakama wafanye ujanja ujanja wa kuchelewesha kesi ili wasije kuingia kwenye uchaguzi mdogo.
kafulila kama kweli alienda mahakamani atakuwa anajisumbua bure, kutokana na kwamba yeye alishavunja kanuni za chama kwa kuvujisha siri za chama kwenye vyombo vya habari.
ni kanuni hizo hizo ndizo zilizompa ulaji, na sasa inamnyang'anya ulaji!
sidhani kama mahakama itaamua kupindisha sheria in favor of kafulila!
pole kafulila
 
Achana na huyo chizi kamua kujifua nguo mahakamani/ hadharani . Ushauri wa Zitto wa kipuuzi sana!
 
Kanuni za kisheria ziko waz..ukivuliwa uanachama unapoteza nafasi yoyote ya kisiasa.sasa anaenda mahakamani kufanya nn?
 
Mwerevu hujifunza kwa makosa ya wengine na mpumbavu kwa makosa yake mwenyewe!
Wacha ajifunze bana!
 
kutokana na gharama ambazo taifa italiingia iwapo uchaguzi utafanyika naona ni jambo zuri kwa kafulila kwenda mahakamani,labda hii itatoa ahueni kwa serikali ambayo kwa sasa iko hoi kifedha.kesi itaendeshwa kwa muda wa miaka miwili na ushee kwa kipindi hiki serikali inaweza kuwa stable kiuchumi.kuhusu nani aliyemshauri:naamini tendwa ni mmoja wao na inawezekana serikali kupitia wasirra/pinda imehusika kumuelekeza kijana huyu nini cha kufanya.
Mkuu umenichekesha sana juu ya hao waliomshauri,ila kama kesi haina merrit sidhani kama ita last long,ngoja tuone mwisho wake!
 
Back
Top Bottom