Kafulila atishia: Nikishindwa kesi nitahamia chama kingine

Arudi CDM ila atakuwa under special intensive observation.

Hii kwenye bold nimeipenda sana.

Akija inabidi awe kama Zitto aangaliwe under special intensive observation.

Zitto Mara nyingi anatumiwa na CCM kuivuruga CMD; na anapenda sana kujipendekeza kwa jk.

Nadhani mnakumbuka siku zile ambapo Wabunge wenzie nao walipomgundua wakamtimua kwenye nafasi ya Msaidizi wa kiongozi wa upinzani Bungeni.

Ni mwanasiasa mzuri ila mtindo wake wa kutumiwa na CCM utam-cost. Let us wait and see !

Kinachosaidia ni kwamba viongozi wa juu wa CDM wako very STRONG na Zitto hawezi kuwayumbisha.

Big up sana Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CDM.
 
jamaa hawezi kuhamia ccm maana kule mbatia tayari yupo so hana ujanja bali kuingia cdm.

CDM hawamwihitaji Kafulila, kwa sababu hakufukuzwa aliondoka mwenyewe. Je yale yaliomfanya aondoka yameisharekebishwa? Ataisikia CDM kwenye bomba tu. Anachokipata kafulila ni malipo ya unafiki wake. Ngoja mahakama ibariki uamuzi wa NCCR tuone akishinda uchaguzi.
 
Nashangaa sana watu ambao wanamchukulia Kafurila kiwepesi wepesi, huyu Kafurila ni zaidi ya Shetani ni kwamba kama mipango yao na Zitto Kabwe ingekamilika kumng'oa James Mbatia kwenye uwenyekiti Nccr ndio kilikuwa chama kinachoandaliwa kuja kuivuruga Chadema miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu 2015. Ni mungu tu ameamuwa kuonesha uwepo wake.
 
wellcome back kamanda
 
Back
Top Bottom