Kafulila anajiamini nini?

Nani asie jua kua uyo MTU ni msakatonge.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hii sio ya Kukosa
 
Yule tumbili??
 
If you name one person who is based on decorating empty words zero actions, that is David Kafulila, huyo siku Mh. Rais akimshtukia atafukuza haraka sana.
 
public-private partnerships
naomba namba ya mheshimiwa ili nimuulize swali langu

swali lenyewe hili hapa : ukiondoa kuwa serikali ina kazi ya kuchukua kodi kutoka kwa makapuni ,NGO,na taasisi binafsi ,huwa inafanya nini kusaidia taasisi binafsi na watu binafsi kukuza biashara zao?
 
Mfuate kule Tweeter mkuu ni rahisi kuwasiliana nae
 
Afungue mjadala space huko twitter akutane na manguliz sasa udsm huko labda afanye na angalau graduate students na researchers plus wahadhiri. Ila hawa undergraduate students wenye uelewa mpana wa mijadala hiyo huwa si wengi kivile kwa kila darasa
 
Sema aweke link ya maswali ili wananchi pia wamuulize maswali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…