Kafulila akanusha Upotoshwaji dhidi yake na Lissu

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,188
13,415
Na David David Kafulila

Upotoshaji unaosambazwa dhidi yangu david kafulila.

Kuna ujumbe unasambazwa ukidai kuwa mimi David Kafulila nimemshutumu mhe Tundu Lissu kuhusu msimamo wake sakataka la mchanga na kwamba amehongwa kufifisha juhudi za rais.

Naomba kusisitiza kwamba ujumbe huo sio wangu, nisiasa za vioja badala ya hoja. Mhe Lissu amebobea eneo hili, nivema serikali na CCM ijibu hoja badala ya vioja. Msimamo wangu upo wazi kwamba tatizo la madini Mkapa & JK waondolewe kinga wachunguzwe kama kweli rais ameamua kukabili tatizo, kwakuwa ndio msingi wa yote haya.

Rais wa zamani nigeria abacha alipochunguzwa alikutwa kahongwa $3bn (zaidi ya trilion7 za kitanzania). Sijui hawa walivuta ngapi kuhalalisha mikataba hii ya uporaji.

CCM kama mmekosa hoja vema mkae kimya badala ya kusambaza upuuzi. Kama kweli CCM mnauchungu na uporaji huu mshinikizeni rais tuondoe kinga watu hawa wachunguzwe badala ya kuchunguza vidagaa!
 
Na David David Kafulila

UPOTOSHAJI UNAOSAMBAZWA DHIDI YANGU DAVID KAFULILA.

Kuna ujumbe unasambazwa ukidai kuwa mimi David Kafulila nimemshutumu Mhe Tundu Lissu kuhusu msimamo wake sakataka la mchanga na kwamba amehongwa kufifisha juhudi za Rais. NAOMBA KUSISITIZA KWAMBA UJUMBE HUO SIO WANGU, NISIASA ZA VIOJA BADALA YA HOJA. MHE LISSU AMEBOBEA ENEO HILI, NIVEMA SERIKALI NA CCM IJIBU HOJA BADALA YA VIOJA.MSIMAMO WANGU UPO WAZI KWAMBA TATIZO LA MADINI MKAPA&JK WAONDOLEWE KINGA WACHUNGUZWE KAMA KWELI RAIS AMEAMUA KUKABILI TATIZO, KWAKUWA NDIO MSINGI WA YOTE HAYA.RAIS WA ZAMANI NIGERIA ABACHA ALIPOCHUNGUZWA ALIKUTWA KAHONGWA $3BN (ZAIDI YA TRILION7 ZA KITANZANIA). SIJUI HAWA WALIVUTA NGAPI KUHALALISHA MIKATABA HII YA UPORAJI. CCM KAMA MMEKOSA HOJA VEMA MKAE KIMYA BADALA YA KUSAMBAZA UPUUZI. KAMA KWELI CCM MNAUCHUNGU NA UPORAJI HUU MSHINIKIZENI RAIS TUONDOE KINGA WATU HAWA WACHUNGUZWE BADALA YA KUCHUNGUZA VIDAGAA!
Umeongea vyema ila vipofu ndio wapingaji
 
Itafikia hatua nikiingia Tz nisimsalimie baba yangu mzazi kwakuwa ni ccm maana kama hatukuanza hivi inchi itaendelea kuozeshwa na maccm kunya wamekunya wenyewe hadharani kisha wanaomba msaada kupanga rangi mavi ili wenye macho waone sio mavi.
 
Ccm wananikasirisha Sana Hadi natamani nikimbilie porini kudai inchi yangu
 
Kuna watu wanamwona Lisu km mahiri kumbe hamna lolote.Wengi wa hao watu ni majuha
 
mmh Mchemsho huo ni upi? Wa maharage au wa samaki? Tuonyeshe humu huo mchemsho vinginevyo mmechemsha ninyi kwa hulka yenu ya kukurupuka na ile ya ndioooooo!
Mbona kila iitwayo leo mnaharibu na kuacha badala ya kujenga?
 
Safi sana Kafulila kwa kuweka sawa hili jambo maana namimi nimekutana nalo sehemu.
CCM ni kusanyiko la WAJINGA.
 
Hivi hii nayo ni taarifa!!!

Huyu aliyeandika darasa la ngapi? Ile shule kazi.
Ana shahada ya pili ya usimamizi wa biashara. Hujaelewa kitu gani hapo? Unahoji taarifa yake kwani uliona taarifa aliyoikanusha ilistahili kujibiwa kwa taarifa ya namna gani wewe "msomi wa Lumumba" ?
 
Tz ni nchi yangu but bunge sometimes huwa nalikana sio letu kwa mambo linaloyaamua.
 
Back
Top Bottom