Kafulila aifunika KIGOMA

Kafulila aifunika KIGOMA

Duble Chris

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2011
Posts
3,481
Reaction score
564
David Kafulila aliyeenguliwa ubunge na chama chake NCCR alipokelewa kwa kishindo kama mfalme jimboni kwake na wananchi

Wakati huko CUF - DAR
kwenye mkutano wa ndani walinzi wa wa chama waliwachapa vibao wajumbe na baadhi kujeruhiwa

Source magazeti ya leo via RFA
 
kafulila ni shujaa.anateswa na kile anachokiamini alichoamua kuwaambia viongozi wake kuwa wanakosea.
uchaguzi ukirudiwa Kgoma Kusini NCCR watalichukua jimbo au bado jimbo ni la David kupitia chama chochote cha siasa
 
kafulila ni shujaa.anateswa na kile anachokiamini alichoamua kuwaambia viongozi wake kuwa wanakosea.

Kuna shujaa apatikanaye kwa kusema? tuambie kafulila kafanya nini!
 
Nasubiri komendi ya Malagalasi, na mtazamo wake kuhusu hili maana juzi alikuwa analalamika kweli
 
david kafulila aliye engunguliwa ubunge na chama chake nccr alipokelewa kwa kishindo kama mfalme jimboni kwake na wananchi wakati huko cuf - dar kwenye mkutano wa ndani walinzi wa wa chama waliwachapa vibao wajumbe na baadhi kujeruhiwa source magazeti ya leo via rfa
wamechapwa vibao?????!
 
Kosa la kafulila ni kuungana na chadema kutoka nje!! alimkera m/kiti wake maana mbatia ni ccm na kafulila alionyesha u-chadema badala ys u-ccm!!
 
Kuna shujaa apatikanaye kwa kusema? tuambie kafulila kafanya nini![/QUOTE
Mh kwa padri slaa amefanya nini zaidi ya kubwabwaja tu.kwa maana hiyo naye siyo shujaa?

PADRI Dr Slaa. Kama hujui alichokifanya nchi hii waulize CCM. Mafisadi wanatetemeka, ametujuza mafisadi wa nchi hii kwa majina, hadi leo wote wamefyata mkia including JK.
Kile kichwa kimesomeshwa sawasawa na kanisa hadi kuwa PADRI. By the way upadri ni tofauti sana na ..... angalia uelewa wa mapadri na wale jamaa zetu.....
 
uchaguzi ukirudiwa Kgoma Kusini NCCR watalichukua jimbo au bado jimbo ni la David kupitia chama chochote cha siasa
Kama isingelikuwa ni sheria kugombea uongozi mpaka uwe mwanachama wa chama cha siasa, Nadhani tungelikuwa na viongozi wa kuanzia ngazi ya mtaa mpaka mjengoni wasio wanachama wa vyama vya siasa.
Watanzania wamechoshwa na vyama vya siasa, wanachagua mtu na kama uhamini warudishe sheria ya mgombea binafsi utaona maajabu ya mussa.
 
ata kama umetumwa fanya utafiti kidogo alipokelewa wp? Na nani?.mulize akupe mbinu mpya ya kuingia hapa usije nawe ukaanza kulia
 
Mh kwa padri slaa amefanya nini zaidi ya kubwabwaja tu.kwa maana hiyo naye siyo shujaa?[/QUOTE said:
Kamuulize JK na MAFISADI walivyoanikwa na umma kutambua kilicho nyuma ya pazia. Ujahamka wewe
 
kafulila atakuwa maarufu si muda mrefu
 
Ni bora ya mtu anayeoongea sana hata kama hasikilizwi kuliko yule anayesimama mbele ya viongozi wenzake na anawawakilisha wananchi wa jimbo lake pia wana matatizo kibao jimboni kwake lakini akaanza kuisifu familia yake na kiongozi wa nchi utafikiri ndio pekee walio mtuma mjengoni mwisho anaunga mkono asilimia mia 100% kwa 100% wakati jimboni kwake matatizo kibao.

Kwa hiyo Heri ya kijana D.Kafulila hata kama akina James Mbatia wasioona mabali wanamfanyia Mizengwe isiyo na maana kwa kumfukuza uanachama wa NCCR pia Namshangaa James Mbatia ni Mchagga wa wapi ? wakati wachagga wenzake siku hizi wamepiga hatua kubwa kusonga mbele yeye bado yupo kwenye usiku wa Giza nene.

Pili kama hujui Dr,W. Slaa wa Ukweli na Chama chake (CHADEMA) kafanya nini unaonyesha bado wewe ndugu yetu upo shimoni kabisa hata asubuhi ujaiona hatuna budi kukupa pole hasa tunapouuanza mwaka 2012 au wewe pengine bado ni mtu wa kula kulala.Anatory Mujwahuzia..................
 
kafulila atakuwa maarufu si muda mrefu
teeh! Teeh! Teehe. Jamaniii!!! Majina mengine bhana. KAFULILA huku kwetu iringa maana yake ' KAJAMBIA ' wahehe hawaamin km kafulila ni jina la mtu.
 
David Kafulila aliye engunguliwa ubunge na chama chake NCCR alipokelewa kwa kishindo kama mfalme jimboni kwake na wananchi

Wakati huko CUF - DAR kwenye mkutano wa ndani walinzi wa wa chama waliwachapa vibao wajumbe na baadhi kujeruhiwa

Source magazeti ya leo via RFA

sasa mkuu kwa nini wapiga kura wake wasiamue kutompigia kura yeyote ataekuja tofauti na yeye?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom