Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,609
Nipo mkuu...wewe ndio umeadimika.
Nimefurahi sana kukuona, vp Eric52 anasomeka ama ndo kachezea kifungo tayari?
yupo...kajaa tele...anazingua vibinti vya humu ndani.
kama kawaida yenu wakware.. ha ha ha..
Yep...kama kawa mkuu...Huwa nakuchora chora yale maeneo yako ya kuuzia sura na wale warembo wako wawili bwana
ha ha ha!! yaniiii we acha tu! maisha haya..nimekua na hofu na kale kajukwaa ketu kaleee(cele..) kila asubuhi lazima nikasabahi pale maana watu hawakawiii..
Ni species mpya hizo. Hata sisi home tuna ng'ombe kama hao. Sisi huwa tunawakuta kwenye minara ya tiGO wanapunga upepo.
Dah.....imenibidi nicheke....minara ya tIGO?...AMA KWELI
ha ha haaaa!!! haya bwana...wape hi warembo wako...halafu punguza kupigwa BAN mkuu maana dah!! hadi unakaribia kuvunja rekodi ya dunia.
ha ha ha! tatizo jukwaa la siasa liko so provocative..staki hata kuliona..
Mtiology huo
niliipiga hivi
jamani! ati great thinkers naombeni kuwauliza kwanza kabla sijamjiu tena c6. je? kuna uhusiano wowote wa kimazingira kati ya mpiga picha c6 na huyu mnyama kweli. mpiga picha c6 anaonekana yuko bandarini na mnyama anaonekana yupo kwenye makazi ya watu majumabani, mean while distance between c6 na mnyama iko very close very very close, i wonder why c6 aka mpiga picha awe kwenye haya machuma kama vile yako bandarini si bandarini,mtoni si mtoni n.k na huyu amnyama awe juu ya paa? kwanini wote wasiwe juu ya paa au hayo machuma?
c6 bado jibu halijaniridhisha!
hapo ni kwenye uzio wa nyumba upande wa nyuma kwa juu, coz sijatoa eneo zima ndo maana umeona tuko sehemu tofauti