Andrew Sosipeter
Senior Member
- May 29, 2016
- 189
- 33
Yaaani ni kweli kabisa nilikuwa Nina mdogo wangu naye alipata matokeo kama ya huyo mdogo wa jamaa .Alikuwa anasoma bila target? Watanzania wengi tuko hivyo tunasoma kwa kupapasa tu yaani yaani unaotea mwisho wa siku unapata kama haya, OK private school atapata lakini kama shule ni makini hawatakubali asome science ila HKL, HGL Atakubaliwa.
Hakuna vigezo vya combinationSi anaenda private hamna shida mwambie aende tu no problema
ajakizi=hajakidhiHapo ajakiz vigezo vya flat c within combination
Economic x geography D mathematics duna maana gan xdd?
Kweli wewe ni kaparo kkSi useme tu kwamba ni wewe!
Maana umewasubiri nacte mpaka umechoka sasa!
Is it proved?Nilivyoskia kuanzia mwaka huu ni must ccc na hakuna kursit somo moja kam una ccd
Kama vip aende ualimu km yuko interested