Mkuu myoyambendi ktk vitu ambavyo wazungu wamefanikiwa sana ni kule kutuaminisha kuwa wao sio wachawi na wala hawatoi kafara...
Lakini nao hutoa kafara vile vile na hili jambo lipo
Kwa mfano ndege ya Malaysia na zungine unasikia tu haionekani unazani ipo wapi.tena uchawi wao ni hatari bora wa ki bongo angalau mabati ya bus au tren unaviona wao huoni kitu.yaani vyote vinaelekea kuzimu kama sadaka.