Kafara ni sadaka itolewayo kwa mashetani ili ufanyiwe jambo fulani , na hii inaweza tolewa kwa wanyama, au binadamu, kwa maana kafara lazima iwe damu mbichi ambayo kama ni kwa mganga wa wakienyeji unapeleka mnyama ama mbuzi ama kondoo na wakati anachinjwa kunakuwa na maneno ambayo mganga huyo anayatamka na yale mashetani yaliyoitwa pale yanakunywa ile damu na kuanza kufanya kazi sasa kusimamia yale manuizo kama jinsi ambavyo mwenda kwa mganga alitaka utendendewe, hata siku moja mganga haombi kabeji au matango.