Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,715 Reaction score 167,728 Aug 9, 2010 #1 Hivi hatuwezi kujenga majengo marefu bila ya watu kufa? Vifo vya ajabu kabisa, havielezeki. Na kibaya zaidi ni kwamba wenye majengo yaani wanaona kama amekufa mbuzi tu. Utasikia wanatoa rambirambi elfu hamsini. Afrika bwana , looo kinyaa kitupu.
Hivi hatuwezi kujenga majengo marefu bila ya watu kufa? Vifo vya ajabu kabisa, havielezeki. Na kibaya zaidi ni kwamba wenye majengo yaani wanaona kama amekufa mbuzi tu. Utasikia wanatoa rambirambi elfu hamsini. Afrika bwana , looo kinyaa kitupu.
Mshirazi JF-Expert Member Joined Dec 8, 2009 Posts 444 Reaction score 181 Aug 9, 2010 #2 mwaka huu!!!! Kaaazi kweli kweli!
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,036 Reaction score 38,391 Aug 9, 2010 #3 na yale majengo yalibomoka jana china nayo ni kafara yamekunguta 140 so far nao wapewe ngapi kwa hesabu zako za fasta
na yale majengo yalibomoka jana china nayo ni kafara yamekunguta 140 so far nao wapewe ngapi kwa hesabu zako za fasta