Kafara halina rivasi

Umenena na mwenye utashi azingatie uliyosema. Sasa ikitokea kwenye familia duni mmoja amepata ufahamu wa ulimwengu wa roho, si atawamaliza wote? Watabakia tu kuseama "Yesu Maria na Yosefu "
 
[emoji848][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Umenena na mwenye utashi azingatie uliyosema. Sasa ikitokea kwenye familia duni mmoja amepata ufahamu wa ulimwengu wa roho, si atawamaliza wote? Watabakia tu kuseama "Yesu Maria na Yosefu "
 
Mkuu hujasiri tunao sisi Asante kwa mafunzo yako.
 
Kafara ya kuwa na furaha na kutenda mema
 
Makafara hayana rivasi. Kutoa kafara dogo kuliko lililotangulia ni kurudi nyuma kiuchumi. Nani anaweza kukubali?

Hivyo unapomtumia kiumbe kwenye kafara unakuwa umekatisha maisha yake kimwili lakini sio kiroho.

Kafara haina rivasi wala mwisho mwema. Kafara huambatana na viapo, viapo hivi ni kuuza roho yako kwa shetani. Gharama ya kuikomboa huwa ni kubwa mno na wengi wameshindwa.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…