Amefanya maamuzi ya maana sana kujiuzulu lakini kati ya watu mapepe wa kuogopa ni polepole. Alijiona Mungu mtu wakati wa Magu na kunyanyasa watu sana.
Alitaka nankuchangia kudumiza democracy sana na ndiyo amechangia sana kwa matatizo tuliyonayo.
Leo kaokoka na amekuwa mpenda haki za binadamu ni jambo jema lakini je umapepe wake umeisha au ni mbinu tu za kisiasa