T Tomahawk JF-Expert Member Joined Apr 12, 2015 Posts 235 Reaction score 243 Sep 30, 2015 #1 Nilipenda uigizaji wake enzi izo, alikuwa akitumia jina la Nina alipenda sana ku act na Dr. Cheni mara kwa mara, yuko wapi siku hizi?! ========= Msanii Nguli wa Sanaa nchini, 'Nina'
Nilipenda uigizaji wake enzi izo, alikuwa akitumia jina la Nina alipenda sana ku act na Dr. Cheni mara kwa mara, yuko wapi siku hizi?! ========= Msanii Nguli wa Sanaa nchini, 'Nina'
I IgweMulokozi Member Joined May 24, 2013 Posts 33 Reaction score 17 Sep 30, 2015 #2 Nina aliolewa anaishi maeneo ya Kinondoni karibia na uwanja wa Garden na mambo yake safi katulia analea mumewe na watoto
Nina aliolewa anaishi maeneo ya Kinondoni karibia na uwanja wa Garden na mambo yake safi katulia analea mumewe na watoto
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,328 Sep 30, 2015 #3 yupo,mambo yake safi sasa
R rpg JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 3,620 Reaction score 1,478 Sep 30, 2015 #4 Photo please!
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,797 Sep 30, 2015 #5 mmh alikua wema wa kipindi hicho....
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Sep 30, 2015 #6 Niliwahi kukutana nae maeneo ya buguruni rozana kuna chimbo flani miaka kama 5 iliyopita. Nimemiss sana
Niliwahi kukutana nae maeneo ya buguruni rozana kuna chimbo flani miaka kama 5 iliyopita. Nimemiss sana
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 Sep 30, 2015 #7 Junior. Cux said: mmh alikua wema wa kipindi hicho.... Click to expand... Sure..Alikuwa kisu..Ana Macho flani hivi ya kimitego
Junior. Cux said: mmh alikua wema wa kipindi hicho.... Click to expand... Sure..Alikuwa kisu..Ana Macho flani hivi ya kimitego
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,797 Sep 30, 2015 #8 Kaboom said: Sure..Alikuwa kisu..Ana Macho flani hivi ya kimitego Click to expand... Hahha very sure... macho yake hakuangalii mara mbili ushaanza kujikanyaga
Kaboom said: Sure..Alikuwa kisu..Ana Macho flani hivi ya kimitego Click to expand... Hahha very sure... macho yake hakuangalii mara mbili ushaanza kujikanyaga
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 Sep 30, 2015 #9 Junior. Cux said: Hahha very sure... macho yake hakuangalii mara mbili ushaanza kujikanyaga Click to expand... Teh teh...kuna huyo,Nora na coletha..Hawa dada walikuwa wanajua kujiseksisha aisee..Wakipewa scenes za mapnz walikuwa hawakosei
Junior. Cux said: Hahha very sure... macho yake hakuangalii mara mbili ushaanza kujikanyaga Click to expand... Teh teh...kuna huyo,Nora na coletha..Hawa dada walikuwa wanajua kujiseksisha aisee..Wakipewa scenes za mapnz walikuwa hawakosei
N nanilii JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 411 Reaction score 503 Sep 30, 2015 #10 nilimpenda sana huyu dada , anyways basi :embarrassed: (kwa sauti ya kufifia)
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,038 Reaction score 3,034 Sep 30, 2015 #11 nanilii said: nilimpenda sana huyu dada , anyways basi :embarrassed: (kwa sauti ya kufifia) Click to expand... Yani we acha tuuu.. me nilimpenda zaidi, na nilikuwa namkubali sana. yule ndo alikuwa msanii na sio hawa wa siku hizi wauza sura tuuu
nanilii said: nilimpenda sana huyu dada , anyways basi :embarrassed: (kwa sauti ya kufifia) Click to expand... Yani we acha tuuu.. me nilimpenda zaidi, na nilikuwa namkubali sana. yule ndo alikuwa msanii na sio hawa wa siku hizi wauza sura tuuu
Robert S Gulenga JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 2,255 Reaction score 1,565 Sep 30, 2015 #12 Kaboom said: Teh teh...kuna huyo,Nora na coletha..Hawa dada walikuwa wanajua kujiseksisha aisee..Wakipewa scenes za mapnz walikuwa hawakosei Click to expand... Coletha mtamu sana
Kaboom said: Teh teh...kuna huyo,Nora na coletha..Hawa dada walikuwa wanajua kujiseksisha aisee..Wakipewa scenes za mapnz walikuwa hawakosei Click to expand... Coletha mtamu sana
jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,415 Reaction score 1,189 Sep 30, 2015 #13 mpululu said: Coletha mtamu sana Click to expand... Coletha ndio alikuwa na kithembe flani hivi
Mlalahoi Mlalahai JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 399 Reaction score 148 Oct 1, 2015 #14 Nina macho mazuri
G glycerine JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 422 Reaction score 136 Oct 1, 2015 #15 Yes hta mm nammis sana huyu bint
L Loitore JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 548 Reaction score 104 Oct 1, 2015 #16 Jamani Nina.! dah! mtoto aliumbwa akaumbika ana macho hayo mh! wacha kama mi nimemkosa nitafanya namna hata chalii yangu mmoja aoe mtoto wake kama ana wa kike..!!
Jamani Nina.! dah! mtoto aliumbwa akaumbika ana macho hayo mh! wacha kama mi nimemkosa nitafanya namna hata chalii yangu mmoja aoe mtoto wake kama ana wa kike..!!
Alwayz on top JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 706 Reaction score 268 Oct 1, 2015 #17 Junior. Cux said: Hahha very sure... macho yake hakuangalii mara mbili ushaanza kujikanyaga Click to expand... Macho Flan hivi Amazing
Junior. Cux said: Hahha very sure... macho yake hakuangalii mara mbili ushaanza kujikanyaga Click to expand... Macho Flan hivi Amazing
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,613 Oct 1, 2015 #18 Jimena said: Niliwahi kukutana nae maeneo ya buguruni rozana kuna chimbo flani miaka kama 5 iliyopita. Nimemiss sana Click to expand... Buguruni Rozana? chimbo la nini? na wewe ulikuwa hilo chimbo?
Jimena said: Niliwahi kukutana nae maeneo ya buguruni rozana kuna chimbo flani miaka kama 5 iliyopita. Nimemiss sana Click to expand... Buguruni Rozana? chimbo la nini? na wewe ulikuwa hilo chimbo?
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Oct 1, 2015 #19 mpululu said: Coletha mtamu sana Click to expand... Mkuu apia!
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Oct 1, 2015 #20 Alikuwa mrembo wa haja Nina