Wadindishaji huwa hawadindishi Instagram utasikia tu wadada wanavyodai pesa za matunzo ya watoto. Kiba mwenzao anawaonesha picha za watoto wake utajaza mwenyewe watoto wanapatikana vipi.
mi haijanitoa mateee
Ni baada ya kupost pic akiwa kavalia kinguo chepesi kilichomuonesha umbo lake kwa mbele na kuzua mtafaruko wa tamaa huko instagram
Wadindishaji huwa hawadindishi Instagram utasikia tu wadada wanavyodai pesa za matunzo ya watoto. Kiba mwenzao anawaonesha picha za watoto wake utajaza mwenyewe watoto wanapatikana vipi.
"Mjinga utabaki unashangaa kumuona martin kadinda"-Fid Q