GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,611
- 127,991
NAOMBENI HUU UZI UFUTWE AU MUEDIT VICHWA VYA HABARI UMEKAA KICHOCHEZI ....moderator huwa mnafuta mambo ya maana sielewi hili mnaliacha Kwa faida ipi; Futeni huu Uzi hauna maana
Bora wasimikubali,mapadri wenyewe hawa wanaopokea pesa zisizoeleweka zenye mashaka kama za eskroUkiona Mapadre tena hasa wa Kanisa Katoliki hawakukubali jua ya kwamba una matatizo makubwa ambayo hata Mwenyezi Mungu akipelekewa na Yeye yatamshinda na atamuachia tu Lucifa ( Shetani Mkuu ) amalizane nayo.
Bora wasinikubali,mapadri wenyewe hawa wanaopokea pesa zisizoeleweka zenye mashaka kama za eskro
Thanks Foolish LecturerAnother Foolish Creature.
Schizophrenia!Huyu mtu anahitaji msaada wa kisaikolojia. He is not normal
Yaani wewe..Mapadre wote wa kanisa katoliki nchi nzima wameungana tangu mwaka 1998 kuniwekea vikwazo na kuhakikisha sifanikiwi. Na poandika hapa nikuwa pia wanapotosha elimu yangu kwa maslahi yao, mimi nimesoma chuo kikuu cha SEKUCo cha Lushoto lakini wao wanasema ni SAUT, naomba elimu yangu isiwe kikwazo kwa kanisa, hivyo ni bora nifunguliwe milango, mimi tayari nina watoto natakiwa kulea watoto wangu, naomba sana baba Pengo ingilia kati. NIMECHOKAAAA
Ndimi, DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
Hyo avatar dadangu,..daah,nakulagaHiv huyu deo ni mtu yupo anapatikana mtaan nahisi yupo sober akiiba simu ndio anaingia jf
Ngaillo utalipa mbavu zanguHizi Albadir ziwafuate wahusika tu jamani...
Mbona unabadilisha magoliHyo avatar dadangu,..daah,nakulaga
ππππππYaani wewe..
1. Kanisa linakuonea
2. Vyama vyote vinakuonea
3. Watu wote wanakuonea
4. JF inakuonea
5. Polisi wanakuonea
6. Shule zinaouonea
Ghairisha Kuishi