Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,399
Mapadre wote wa kanisa katoliki nchi nzima wameungana tangu mwaka 1998 kuniwekea vikwazo na kuhakikisha sifanikiwi. Na poandika hapa nikuwa pia wanapotosha elimu yangu kwa maslahi yao, mimi nimesoma chuo kikuu cha SEKUCo cha Lushoto lakini wao wanasema ni SAUT, naomba elimu yangu isiwe kikwazo kwa kanisa, hivyo ni bora nifunguliwe milango, mimi tayari nina watoto natakiwa kulea watoto wangu, naomba sana baba Pengo ingilia kati. NIMECHOKAAAA
Ndimi, DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
He is a very unluckiest man on earth it seems trouble is always after him!Afu deo wewe unatatizo gan kwanini kila siku wewe ni kulia lia tu ndugu
Wewe si ulisema unataka kumuoa mtoto wa kagame?.Mapadre wote wa kanisa katoliki nchi nzima wameungana tangu mwaka 1998 kuniwekea vikwazo na kuhakikisha sifanikiwi. Na poandika hapa nikuwa pia wanapotosha elimu yangu kwa maslahi yao, mimi nimesoma chuo kikuu cha SEKUCo cha Lushoto lakini wao wanasema ni SAUT, naomba elimu yangu isiwe kikwazo kwa kanisa, hivyo ni bora nifunguliwe milango, mimi tayari nina watoto natakiwa kulea watoto wangu, naomba sana baba Pengo ingilia kati. NIMECHOKAAAA
Ndimi, DEOGRATIUS NALIMI KISANDU.
Afu deo wewe unatatizo gan kwanini kila siku wewe ni kulia lia tu ndugu