Kadinali Pengo Uliaibisha Kanisa Kuhusu Makonda

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,802
71,229

Jee wewe kama kiongozi wa juu was kanisa hukusikia malalamiko ya waumini kuhusu Makonda hadi uvae miwani ya mbao kuondoa aibu na kumsifu?
Jee sasa utasimama tena na kuwapinga Wamarekani wanaosema Makonda anapoteza maisha ya watu?
Piga magoti muombe Mungu akusamehe kwa kukubali kutumika na kutetea uovu.
Tumsifu Yesu Kristo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mzee naye ana roho ya kiuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo umri tayari umesha muhukumu wacha tumsamehe bure

Jee wewe kama kiongozi wa juu was kanisa hukusikia malalamiko ya waumini kuhusu Makonda hadi uvae miwani ya mbao kuondoa aibu na kumsifu?
Jee sasa utasimama tena na kuwapinga Wamarekani wanaosema Makonda anapoteza maisha ya watu?
Piga magoti muombe Mungu akusamehe kwa kukubali kutumika na kutetea uovu.
Tumsifu Yesu Kristo!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakiri ni mroma kati ya maaskofu nisiowapenda ni pengo kama jina lake sitoi tena sadaka Kwa ajili yake.rudisha kumbukumbu tangia lini raisi atoe ndege ikamchukue rwaichi hospitali?na hayo maradhi alimpa nani hafla

Huyu mzee nikikutana Naye kichochoron sipishani Naye narudi nilikotoka kijinga sana hiki kim2
 
Jee wewe kama kiongozi wa juu was kanisa hukusikia malalamiko ya waumini kuhusu Makonda hadi uvae miwani ya mbao kuondoa aibu na kumsifu?
Jee sasa utasimama tena na kuwapinga Wamarekani wanaosema Makonda anapoteza maisha ya watu?
Piga magoti muombe Mungu akusamehe kwa kukubali kutumika na kutetea uovu.
Tumsifu Yesu Kristo!

Sent using Jamii Forums mobile app

kadinali yupo sahihi kwasababu makonda yupo sahihi na hakuna baya alilolifanya
na hata kanisa halipo radhi kuachia upuuzi kama uhuu wa kina pompeo
 
Attachments

  • makonda 1.JPG
    makonda 1.JPG
    20.4 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom