Kadinali Pengo Uliaibisha Kanisa Kuhusu Makonda

Askofu Munga alimuonya lakini....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena alimuonya kwa kutumia maneno ya kinyenyekevu mno mpaka unajua kabisa ni onyo lenye upako!
Lakini ndio hivyo, nguvu za yule muovu zikikutawala hata Yesu ana kwa ana mbele yako waweza kumwambia "achana nami we mtoto wa Seremala"
 
Hahhaha CCM wamemuuza Askofu wa watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom