Kadinali pengo akiwa na papa benedict vatican.

Wamshakusanyika kumpata Papa mpya!nadhani waitaliano watapenda sana Papa atoke Italia na si kwingineko!
 
Wamshakusanyika kumpata Papa mpya!nadhani waitaliano watapenda sana Papa atoke Italia na si kwingineko!

Ukisema waitaliano unamaanisha ma-kardinal wanaotoka Italy watakaohusika kwenye Conclave?
I think that is just a guess, wanaotajwa kwenye mtanange ni waitaliano wawwili na m-marekani mmoja hao ndio wenye chance kubwa.
 
hawa ndio makuhani wanaoendeleza kazi alioicha masiha!!
 
Safi mtumishi wa Mungu Mwadhama Kardinali Pelkarpo Pengo!! Kiongozi msomi anayejua kuchanganua mambo!! You inspire me a lot baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…