Mkuu kama hio kadi ina jina lako yaani wewe ndio mmiliki halali bas ukienda tra ni fasta tu kuipata kutokana na TIN namba yako
Lkn kama hukuwahi kubadili jina(transfar name)baada ya kununua hio pikipiki,hapo utakua nashughuli mkuu,ndio hayoo proses hadi za kwenye magazeti