Kadi nzuri za harusi kwa Tsh 950 tu!

Kadi nzuri za harusi kwa Tsh 950 tu!

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
376
Reaction score
714
Ofa ya kadi za harusi, send-off, michango, graduation, komunio, na mialiko mingine mbali mbali. Utapata ofa hii kuanzia leo hadi mwezi wa nane tarehe 29, gharama ya kawaida ni Tsh 1500 kwa kadi moja, pata kwa ofa ya Tsh 950 kwa kadi moja (kuanzia kadi 100).

OFA inaambatana na;
  • Kudesign kadi zako
  • Kuwatumia wahusika WhatsApp
  • Kwa wasio na WhatsApp tutawatumia ujumbe wa kawaida wenye jina linaloendana na tukio lako, mfano: HARUSI | SEND-OFF | GRADUATION | MCHANGO | KOMUNIO | NK
Gharama ya awali: Tsh 1500 kwa kadi
Gharama ya ofa: Tsh 950 kwa kadi

Wasiliana nami: 0749987122.
Napatikana Sinza, DSM. Huduma inapatikana hata kwa walio nje ya DSM.
 

Attachments

  • Kadi ya Harusi JF.png
    Kadi ya Harusi JF.png
    3 MB · Views: 22
Mkuu jitahid ufanye kazi za kiwango na maajabu makubwa, technolohia iko mbali sana
Ndio boss, shukran.

Najtahidi sana, karibu ujaribu huduma zangu. Ninazo kadi za aina nyingi ikiwemo za QR Code kama verification ya kadi, lakini pia kadi za electronic ambazo namba tu ndio itatumwa kwa mualikwa kisha kadi yake ataipokea mlangoni ukumbini baada ya ku-scan namba ya kadi yake kwenye mashine zetu.
 

Attachments

  • Harusi + QR Code (kunja 02).png
    Harusi + QR Code (kunja 02).png
    3.2 MB · Views: 20
  • Harusi + QR Code (kunja).png
    Harusi + QR Code (kunja).png
    1.7 MB · Views: 27

Similar Discussions

Back
Top Bottom