Kadi na namba za NIDA

Kadi na namba za NIDA

Covid-19

Senior Member
Joined
Mar 2, 2020
Posts
162
Reaction score
365
Habari ya Jumapili waungwana? Nawezaje kupata kadi ya NIDA kwa sisi ambao tumejiandikisha tangu mwaka 2020 na kwenye ofisi zetu za kata tumeenda lakini hakuna?

Msaada pia kama walau ipo namna ya kujua namba ya NIDA maana njia zile za awali hazifanyi kazi na namba zao za simu hazipatikani zote.
 
Back
Top Bottom