Kadi bandia za CHADEMA zaiumbua CCM Mbeya

Hapa wa kulaumiwa ni CHADEMA, sababu kadi zilizonunuliwa ni chache sana,
hii ni ushahidi kwamba kadi zinazochapishwa ni CHAMA hiki ni chache na
hazitoshi mahitaji ya soko.

Nape anampango wa kuizunguka hii nchi nzima, hicho Chadema wanatakiwa
kuprint kadi nyingi zaidi za kuuza
 
Kuna michezo michafu katika siasa ila huu ni mchezo wa kujicgafu wenyewe magamba,kwani mbeya hakuna wanachama wa vyama vingine isipokuwa cdm tu?kila kadi zininazorudishwa ni za cdm tu,magamba yanahofia cdm kweli muda wao umekwisha.

Ni kweli Hili ni swali linampasa kila mtu mwenye sound mind ajiulize kwani siku zile za mdahalo wa TBC1 wakati wa kamapeni za uchaguzi wa mwaka jana 2010 niliona vyama vingi tu na si CDM pekee. mi nasema ukiona watu wazima wanatumia mbinu za kijinga na finyu namna hii kukijenga chama ujue chama hakina watu na waliobaki eti hao akina 6, Mmwakembe na Nape ndio MAESTRO na THINK TANK wa CCM!!!!!!!!!!!
 
Twende tu wala si mbali kihivyo kabla hizo bla-bla zao hazijafika ukingoni,zama hizi bado unahangaika kununua kadi za chama kingine eti kwa lengo kuwa wamekihama chama hicho ni utoto na kukosa mbinu mbadala,kichwa hakipo mkia utaishia kujipigapiga tu ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Mungu nisaidie niweze kushuhudia anguko la CCM! WHAT a day tht will be.
II tell it is coming very soon. Let us pray it will not amount to blood shed our innocent poor Tanzanians, But all the signs show that it is at the door.
 
Back
Top Bottom