TanzaniaLaw
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,298
- 482
- Thread starter
-
- #161
Katiba mpya ilipaswa iwe na mambo yafuatayo:
(1)Amri kumi zilizotolewa na Mungu kwa wanadamu wote.Huu ndio msingi wa sheria zote ikiwemo katiba .
(2)Ubatizo.
(3)Mahakama ya kadhi.
Pia Katiba Itamke kuwa Tanzania ni nchi ya watu wenye dini na imani tofauti.Hivyo basi serikali haitafungamana na dini yoyote.
Au itamke kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini rasmi/maalum.
Kusema kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini ni uongo kwani dini zipo tanzania na zilikuwepo hata kabla ya serikali ya Tanzania na ya mkoloni.
The kid is suffering from down syndrome.hivi wewe makalio mimi kodi yangu itumike kuendeshe kitu ambacho hakinihusu..hebu kwanza fikiria siyo unatoa posti za kijinga
Kwani mahakama za kikristo zipo??
Sasa kama zipo na nyinyi si mziingize kwenye katiba??
Kupiga ramli za wenzenu zisiingie haisadii.
Christians must understand and be aware that, Islam is a complete way of life. It has an economic policy, a legal framework, a political ideology, and a social agenda and were followers of Allah and Muhammad will exercise in full the freedom, if will be guaranteed in the constitution then they are justified to demand for the implementation of the Sharia law in its entirety and not just its personal law aspect. This is where the main problem starts.
NOTE THIS: All Muslims are obliged to be governed and guided by the Sharia. That means, Tanzania will be under Sharia, something Christians will not comprehend, ad infinitum. It is a mandatory requirement [when you are under Sharia] and Christians will have no option but to totally submit to the divine law.
All Christians and non Muslims should fight against Kadhi Court and should never let such bill pass in Tanzania.
cc: Nonda 2013 Eiyer Lisa Valentine Ally Kombo etc
Mataifa ya kikafiri yanaungana kuwauwa waislamu pale iraq ili wapate kuwaibia rasilimali zao.
Isis haigombani na marekani wala Uk ,wanapigana waarabu wenyewe .wao hayawahusu,lakini kuuwa ndio kiu ya makafiri hasa kuuwa waislamu.
Kikataa MAHAKAMA ya KADHI ni Ukafiri tuu unawasumbua.
Si unaina eee!
Elimu hamna lkn midomo mireeeefu!
Aliyekwambia kuwa mahkama ya Kadhi inahukumu watu kukatwa mikono ni nani?
Kenya na Uganda kuna mahkama za KADHI!
Hebu nitajie KESI YYT ile ya mahkama hizo Zikamuadhibu yyt kwa kukata mkono wake au hata kupigwa viboko!!!.
Tunasema haya kila siku kuwa NYIE WAGALATIA kinachowaponza ni ELIMU NDOGO! full stop.
Ndio maana hata hizo ibada zenu makanisani mnatumia muda wenu mwingi KUIMBA na Kutikisa makalio Kuliko KUSOMA!
Ukipita karibu na kanisa utafkiri Kuna Billcana Club mpya imefunguliwa. Ni kwasakwasa kwenda mbele.
SOMENI enyi WAGALATIA ili mpate maarifa ya kujenga Hoja! Na huenda MKAEPUKA NA ADHABU YA JAHANNAM.
Ujinga Ni MZIGO Mkuu!
Bakwata ni kitengo kilichoanzishwa na NYERERE kwa lengo la kuwabana Waislamu.
Asilimia 90% ya waislamu hapa Tz hawaitaki bakwata lkn Serikali dhalimu ya Mfumo kristo inawalazamisha Waislamu kukubaliana na hao wafia tumbo wa bakwata.
Mahkama hii tunataka iwe HURU.
Na hilo tutafanikiwa tu Inshallah.
Makafiri lzm mioyo iwaume.
Hakuna anaetaka kupendelewa hapa.
Hili suala la Mahkama ya kadhi huko KENYA na UGANDA wanalo tayari.
Na hakuna aliyelalamika.
Inakuwaje wagalatia wa TZ wawe na Roho mbaya na midomo mirefu kuliko Wakenya na Wa Uganda?
Kipi wanachokiogopa km sio wanafiki tu?
In my opinion, it is misconceived for the Muslims to suppose that they have a constitutional right to have the Kadhis courts entrenched in the Constitution, in contrast under the terms of the treaty between the Sultan of Zanzibar, the British and the governments of East Africa, inter-alia, if the Kadhis courts had to be entrenched in the Constitution as part of a political deal but that in itself does not make it a constitutional right in the same way that Muslims, like all other Tanzanians, have a constitutional right to protection from discrimination.
Wherefore, Kadhi Court is unconstitutional and unmeritorious ad infinitum,
Bro si kila kitu kinafaa kuigwa, katika nchi hizo hakuna yenye utulivu kama TANZANIA. Lakini pia, katiba ikiisha toa uhuru wa kuabudu ikiwepo kusajiri taasisi zake, si tayari?
....kwa hiyo Mahakama ya Kadhi haifai kuigwa !? Kuwanyima haki ya kuamua "mambo" yao kundi moja katika jamii ndio kudumisha amani !?
Christians must understand and be aware that, Islam is a complete way of life. It has an economic policy, a legal framework, a political ideology, and a social agenda and were followers of Allah and Muhammad will exercise in full the freedom, if will be guaranteed in the constitution then they are justified to demand for the implementation of the Sharia law in its entirety and not just its personal law aspect. This is where the main problem starts.
NOTE THIS: All Muslims are obliged to be governed and guided by the Sharia. That means, Tanzania will be under Sharia, something Christians will not comprehend, ad infinitum. It is a mandatory requirement [when you are under Sharia] and Christians will have no option but to totally submit to the divine law.
All Christians and non Muslims should fight against Kadhi Court and should never let such bill pass in Tanzania.
cc: Nonda 2013 Eiyer Lisa Valentine Ally Kombo etc
Sawa kaka mi naona tuwaachie wawakilishi wetu kwanza kule mjengoni maana hapa hatuwezi badirisha lolote. Ahsubuhi njema, wabillah tawfique!!!
You are mixing things. Galatians 3:10 For as many as are of the works of the law are under the curse: for it is written, Cursed is every one that continueth not in all things which are written in the book of the law to do them.
Go, figure out, who is under the curse.
]It is unconstitutional[/B] to have such an institution in the constitution. It is the matter of ethicalities.
Yeah We must fight against this.Christians must understand and be aware that, Islam is a complete way of life. It has an economic policy, a legal framework, a political ideology, and a social agenda and were followers of Allah and Muhammad will exercise in full the freedom, if will be guaranteed in the constitution then they are justified to demand for the implementation of the Sharia law in its entirety and not just its personal law aspect. This is where the main problem starts.
NOTE THIS: All Muslims are obliged to be governed and guided by the Sharia. That means, Tanzania will be under Sharia, something Christians will not comprehend, ad infinitum. It is a mandatory requirement [when you are under Sharia] and Christians will have no option but to totally submit to the divine law.
All Christians and non Muslims should fight against Kadhi Court and should never let such bill pass in Tanzania.
cc: Nonda 2013 Eiyer Lisa Valentine Ally Kombo etc
Yeah We must fight against this.
Yaani ikiingia hiyo Sharia manake ile haihusiani na torati wala injili ya musa: Zile zinatungwa kwa jinsi wanavyojisikia na muda unavyokwenda. Jamii watakuwa na vilema wengi. Kuna watu wanashangilia tu humu, lakini watapoteza miguu, mikono shingo... haki za binadamu na za wanawake zitakuwa zinabakwa:watakeketwa humu!! ohooo. Elimu ndo itarudi nyuma miaka 50. Yaani kila nikifikiria NAskitika sana; nina sista angu ambaye ni mrembo sana lakini kaolewa na hawa watu: hali yake itakuwa mbaya sana, japo kwasasa ndo kafanywa festi lady. Mungu tusaidie. Ila alionywa akaleta ubishi.