kada wa ccm udom achapwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kada wa ccm udom achapwa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namboyo, Apr 15, 2011.

 1. n

  namboyo Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kijana mmoja wa chuo cha dodoma kitivo cha elimu amepata kibano cha kishikaji baada ya kutaka kubandika matangazo ya kikao cha ccm dodoma ambacho wajumbe wa halimashauri kuu watahudhuria .kijana huyo alijaribu kutangaza kikao hicho kwa kutumia kipaza sauti.vijaa walikua wanampa kibano walionekana kukerwa na kazi ya kifisadi anayoifanya kijana hata hivyo kijana huyo ambaye alikimbia huku wa dada wakimzomea wakisema huyu kijana hasomi alama za nyakati wengi wa wanafunzi wa chuo hichi wamechoshwa na wana ccm.pamoja na kupata kichapo kijana huyo amesma kesho kutakua na magari ambayo yatakuja kupeleka watu makao makuu ya ccm .habari za chini ya kapeti zinasema vijana wa ccm watakuja kueskotiwa na police kwa vile wanachuo wengi hawaipendi ccm ili waweze kufika mjina pia wabunge wa ccm wanatarajiwa kudodi magari yote ili watu wenye nia ya kujitoleo kwenda kwa hela zao wa shindwe kwenda kwenye maandamano.pamoja na hivyo watu walipanga kwenda kwenye maandamano wemepa hata magari kama hamna watatembe kwa mguu ili kufika sehemu husika
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hawatafanikiwa kuzuia nguvu ya umma wanafunzu wa UDOM ni sehemu tuu ya waandamanaji na kwa namna yeyote ile watatumia njia yeyote kufika kwenye maandamano ha ha ha jua linawawakia CCM
   
Loading...