PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Ileje Mkoani Songwe Hezroni Mtawa ambaye pia ni Mhadhiri Chuo Cha Mipango Dodoma amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ileje.
Amekabidhiwa fomu hiyo mapema June 28,2025 na katibu wa chama hicho wilaya ya Ileje Hassan Lyamba ,huku akisema endapo atateuliwa na Chama chake kuwania nafasi ya ubunge atahakikisha anawatumikia wananchi wa Ileje kwa kuwaletea maendeleo.