Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
PoleeHuyu fala nani asiyemjua? huyu naye ni wale wachumia tumbo wanaotegemea teuzi. Huyu takataka sijui ilikuwaje akapewa udokta......Vitabu vyake ni vya ovyo hakuna anayeweza kununua na kuvisoma. Ni mpumbavu.
Uko nje ya muda mzee, subiri tarehe 9 turudi barabarani kisha ipatikane mifumo halisi ya uchaguzi, utajua mlijidanganya kwa muda mrefu.Sahihi kabisa taangu mbowe aondolewe kimekua chama cha wahuni
Hawa ndio wanaoaminiwa na ccm, na bado wanawashauri kwa uongo badala ya kuwaambia ukweli. Jana Odemba alikuwa anamuuliza maswali kisha anamuacha aampe majibu ayatakayo. Huyu anapaswa kuhojiwa ni kijana kama Khalifa wa The Chanzo TV mbona angekimbia?Msikilize kada wa CCM, Dkt. Albanie Marcossy akieleza kwanini CHADEMA hawakushiriki uchaguzi Mkuu 2025 eti anadai "Udhaifu uliokuwa ndani ya CHADEMA ndiyo umefanya wasishiriki uchaguzi"
Soma: Dkt. Albanie: Polepole anataka kuharibu Uchaguzi, apuuzwe
Kweli CDM nidhaifu mbele ya CCM hii? ambayo inaogopa reforms ili kipute kipigwe bila makando kando. Watu kama hawa wanatakiwa wavuliwe na huo u-Dkt.
Njooni itakua massacre kubwa kuwahi kutokea duniani.Uko nje ya muda mzee, subiri tarehe 9 turudi barabarani kisha ipatikane mifumo halisi ya uchaguzi, utajua mlijidanganya kwa muda mrefu.
Mpe pole Marcossy, huyo falaPolee
Ndio tunayataka hayo maana mabadiliko ya kweli yatatikea hapo. Safari hii kitendo cha kutumia silaha za moto kwa waliojiweka madarakani kwa mtutu wa bunduki itakuwa mwisho wao, na chama cha mapinduzi kitakufa rasmi. Ukitaka kuamini hayo, niambkmie ni wapi umeona watu wakivaa sare za ccm baada ya ile warmup ya juzi?Njooni itakua massacre kubwa kuwahi kutokea duniani.
Mbona watu wanavaa we uko Congo nini hata mimi navaa sanaNdio tunayataka hayo maana mabadiliko ya kweli yatatikea hapo. Safari hii kitendo cha kutumia silaha za moto kwa waliojiweka madarakani kwa mtutu wa bunduki itakuwa mwisho wao, na chama cha mapinduzi kitakufa rasmi. Ukitaka kuamini hayo, niambkmie ni wapi umeona watu wakivaa sare za ccm baada ya ile warmup ya juzi?
Anaalika hata watu wasiofahamikaMsengerema huyo udhaifu upi? Na kwan uchaguz umefanyka? Lissu na heche mbona walikuwa wanasema wazi kbs reforms zfanyke wao wako tyr kuingia kwny uchaguzi. Aisee odemba naye anazngua sasa kila wk yuko na makada wa maccm tu amualike john heche hapo tuone sasa..
Siongelei chupi, nasemea mashati, tshirt na kofia zinazoonekana.Mbona watu wanavaa we uko Congo nini hata mimi navaa sana
Anasema wakishapitia kwenye mchujo kisha hupendekezwa majina manne kisha kupeleka kwa Rais ili akateue jina moja ,sindiyo?Msikilize kada wa CCM, Dkt. Albanie Marcossy akieleza kwanini CHADEMA hawakushiriki uchaguzi Mkuu 2025 eti anadai "Udhaifu uliokuwa ndani ya CHADEMA ndiyo umefanya wasishiriki uchaguzi"
Soma: Dkt. Albanie: Polepole anataka kuharibu Uchaguzi, apuuzwe
Kweli CDM nidhaifu mbele ya CCM hii? ambayo inaogopa reforms ili kipute kipigwe bila makando kando. Watu kama hawa wanatakiwa wavuliwe na huo u-Dkt.
Alikuwa anachumia Chadema. Alipoona wapo kizalendo zaidi akakimbilia kwa wanaotanguliza maslahi ya matumbo mbeleHuyu fala nani asiyemjua? huyu naye ni wale wachumia tumbo wanaotegemea teuzi. Huyu takataka sijui ilikuwaje akapewa udokta......Vitabu vyake ni vya ovyo hakuna anayeweza kununua na kuvisoma. Ni mpumbavu.