Uhuni hauna chama wala cheo...amelaaniwa aziniye na mwanamke, awe kada,CCM,CDM,CUF,lawyer,mpole,mkali etc
Maadili ya viongozi wetu na namna wanavyoenenda kwenye maisha binafsi itupe picha ya kwanini hatusongi mbele kama taifa!
Ni watu wachache sana wanashindwa kujiheshimu kwenye maisha binafsi(Clinton) wanamudu kutekeleza wajibu wao vizuri.