Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
Chanzo cha habari?Kama huna ondoa umbeya na majungu!Kada maarufu na aliyewai kugombea ubunge kwenye kura za mchujo kupitia Chama Cha Mapinduzi jijini Arusha Thomas Munisi ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa kata ya Themi jiji la Arusha ameingia kwenye kashfa ya kubaka mtoto ambapo habari zinasema tukio hilo lilitokea maeneo ya KIA na Mererani na kesi ipo mjini Moshi
Tutaendelea kulifuatilia swala hili
Sasa alimbaka vipi kama anatoa mzigo ? Ni shoga au Basha ?Alimbaka mvulana umri wake miaka 16.Kuna tetesi Thomas huwa ni shoga.
Hii itamalizwa nje ya mahakama .Kada maarufu na aliyewai kugombea ubunge kwenye kura za mchujo kupitia Chama Cha Mapinduzi jijini Arusha Thomas Munisi ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa kata ya Themi jiji la Arusha ameingia kwenye kashfa ya kubaka mtoto ambapo habari zinasema tukio hilo lilitokea maeneo ya KIA na Mererani na kesi ipo mjini Moshi
Tutaendelea kulifuatilia swala hili
Kumbe nyumba ya jirani kuna watu wa aina hiiAlimbaka mvulana umri wake miaka 16.Kuna tetesi Thomas huwa ni shoga.
Unashangaa nini wewe nawe! Wapo mpaka viongozi ndani ya uvccm wanaenda Mombasa kila baada ya miezi miwili kwa mapumzikoKumbe nyumba ya jirani kuna watu wa aina hii
Teh..teh. kukata kiu?Unashangaa nini wewe nawe! Wapo mpaka viongozi ndani ya uvccm wanaenda Mombasa kila baada ya miezi miwili kwa mapumziko
hawaji hao mufulis kwasabab mtuhumiwa ni wa kaskazin hata kama ni gambaLizaboni&co Ltd kujeni hapaaa mjibu shutuma hzi
OVA