Tetesi: Kada marufu na Kiongozi wa CCM Arusha kwenye Kashafa yakubaka

Zapa RadioFm

Senior Member
Feb 12, 2016
112
171
Kada maarufu na aliyewai kugombea ubunge kwenye kura za mchujo kupitia Chama Cha Mapinduzi jijini Arusha Thomas Munisi ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa kata ya Themi jiji la Arusha ameingia kwenye kashfa ya kubaka mtoto ambapo habari zinasema tukio hilo lilitokea maeneo ya KIA na Mererani na kesi ipo mjini Moshi

Tutaendelea kulifuatilia swala hili
 
Chanzo cha habari?Kama huna ondoa umbeya na majungu!
 
Adhabu za Mwenyezimungu ni kali.Kaa chonjo na uwongo wowote ule....wa kisiasa...ki dini...kipesa..nk..nk
 
Na yule diwani wa Chadema wa arusha aliyetaka penzi kwa nguvu iliishia wapi au ilikuwa uzushi?
Anyway tabia hizi ni hulka ya mtu sidhani kama zina uhusiano na chama chochote..
 
Kada maarufu na aliyewai kugombea ubunge kwenye kura za mchujo kupitia Chama Cha Mapinduzi jijini Arusha Thomas Munisi ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa kata ya Themi jiji la Arusha ameingia kwenye kashfa ya kubaka mtoto ambapo habari zinasema tukio hilo lilitokea maeneo ya KIA na Mererani na kesi ipo mjini Moshi

Tutaendelea kulifuatilia swala hili
Hii itamalizwa nje ya mahakama .
 
Ondoeni uchafu huu huku jf jamani mnatutoa nje ya ulingo. Tuleteeni ya Mwijage na Dangote jinsi wanavyo bakana si watu hovyo ka hawa wa kimunisi munisi, ati kambaka kijana 16 huyo mzee umri huo kama kaanzwa akiwa 10 leo hata marinda si yalishaisha?? Leteni habari kuu
 
Hapo pongezi zitamiminika chini chini kutoka kwa wenzake, maana kwao kawaida. Sitashangaa akiendelea kula bata mtaani wakati yule kijana mwenye maono ananyimwa japo dhamana ilhali ni haki yake kikatiba.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom