Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
Kada maarufu na aliyewai kugombea ubunge kwenye kura za mchujo kupitia Chama Cha Mapinduzi jijini Arusha Thomas Munisi ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa kata ya Themi jiji la Arusha ameingia kwenye kashfa ya kubaka mtoto ambapo habari zinasema tukio hilo lilitokea maeneo ya KIA na Mererani na kesi ipo mjini Moshi
Tutaendelea kulifuatilia swala hili
Tutaendelea kulifuatilia swala hili