Kada maarufu CCM mbeya atimkia CHADEMA!

tatizo lugha ya hekima inamata! nan nanajua kabisa haujakosa akili kiasi cha kushindwa kugundua lugha haikuwa poa, lakini asante kwa kunielewa kwa kiasi fualani, i hope ur going to be a better man!
sasa wewe lugha ya kwako ndio nzuri? kwa nini wenzako wa upande wa pili uwaite wote vibaka halafu kibabu cha 70 ndio kikamate vibaka, kweli mbwa mzee leo anatumwa
Huu pia si upande wa sherehe na starehe, ni mapambano ya kwa kwenda mbele kuwaondoa hawa vibaka mafisadi,
 
YAANI huyo kibabu bado ana ndoto tu za siasa? si bora aende shamba tu akajilimie kahawa? anajipa stress za ajabu
acha umbururaaaa mandela aliingia ikulu akiwa na aka ngapi? na yule raisi wa senegali je?
 
Huyo anafuata pesa ya kesi za chadema, amezitamani sio zinaliwa na akina safari peke yao
 
YAANI huyo kibabu bado ana ndoto tu za siasa? si bora aende shamba tu akajilimie kahawa? anajipa stress za ajabu

Stress alijipa akiwa ccm ambako inabidi utumie muda mwingi kudanganya wananchi.., sa ivi anaenda ku relax kwani ukweli hauhitaji nguvu kuufikisha kwa wananchi..
 
Leo wamehamia kwenye umri, watulie tu kama hawana hoja.
 
...Ni aibu sana kwa virusi akina Shitambala, Shonza na mwampamba - these guys wameleta aibu kubwa kwa wana Mbeya kwa usaliti wao
 
Mbeya wamepata fundisho kutokana na wasaliti, wametia watu hasira ambayo itaiangamiza ccm.
 

karibu mzee wetu na uzee ni dawa karibu twahitaji sana busara zako ziwezee kudumisha cdm yetu iweze kusonga mbele
 
YAANI huyo kibabu bado ana ndoto tu za siasa? si bora aende shamba tu akajilimie kahawa? anajipa stress za ajabu
...........Kama huyo unamuita Kibabu, je Kingunge tumuite Kibibi au jina gani linamfaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…