Kada CCM avamiwa, acharangwa mapanga Dar

Pole sana ndugu Melleck lakini humu JFs huwa una comment nini pale wanachadema wakitekwa kuteswa na hata kuuawa??

Wasiojulikana ni hao hao, sema wamechukua na fedha ili kupoteza kuhisiwa kawaida wanachukuwa Medias( flash, laptop, cd na paper works zingine) hili la kuchukua pesa ni aidha njaa au kutaka kuaminisha jamii kuwa ni Majambazi/wezi.

Waliomvamia Zakaria Tarime ni watu wa dizaini hiyo hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…