Binafsi naamini ulaji wa kachumbari iliyoandaliwa na mtu nisiyemfahamu ni kukaribisha magonjwa ya kuambukiza. Ikiwa muandaaji si msafi au kwa ajali amejikata wakati wa kuandaa na ukizingatia chakula hiki hakipiti kwenye moto basi usalama kiafya hupungua kwa walaji.