WISDOM SEEDS JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 841 Reaction score 283 Dec 17, 2014 #2 Kachelewa au kalazimishwa?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Dec 17, 2014 Thread starter #3 WISDOM SEEDS said: Kachelewa au kalazimishwa? Click to expand... Wamefanya makubaliano na mkulu kuwa badala ya kufukuzwa ajiuzulu kwa hiari ili kulinda 'system'
WISDOM SEEDS said: Kachelewa au kalazimishwa? Click to expand... Wamefanya makubaliano na mkulu kuwa badala ya kufukuzwa ajiuzulu kwa hiari ili kulinda 'system'
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,910 Dec 17, 2014 #4 Sheria inaweza kumshtaki?
WISDOM SEEDS JF-Expert Member Joined Jun 1, 2011 Posts 841 Reaction score 283 Dec 17, 2014 #5 mshana jr said: Wamefanya makubaliano na mkulu kuwa badala ya kufukuzwa ajiuzulu kwa hiari ili kulinda 'system' Click to expand... Lakini kujiuzulu pekee haitoshi, lazima tumshitaki!
mshana jr said: Wamefanya makubaliano na mkulu kuwa badala ya kufukuzwa ajiuzulu kwa hiari ili kulinda 'system' Click to expand... Lakini kujiuzulu pekee haitoshi, lazima tumshitaki!
P pembe JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 2,156 Reaction score 731 Dec 17, 2014 #6 Wa kumshtaki nani wakati wanalindana na wanapeana mlungula wao kwa wao?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Dec 17, 2014 Thread starter #7 WISDOM SEEDS said: Lakini kujiuzulu pekee haitoshi, lazima tumshitaki! Click to expand... pembe said: Wa kumshtaki nani wakati wanalindana na wanapeana mlungula wao kwa wao? Click to expand... Tukazane 2015 tufanye mabadiliko wallah hatapona mtu adhabu yao yaja na ndio maana wanaogopa mno anguko la ccm View attachment 211609
WISDOM SEEDS said: Lakini kujiuzulu pekee haitoshi, lazima tumshitaki! Click to expand... pembe said: Wa kumshtaki nani wakati wanalindana na wanapeana mlungula wao kwa wao? Click to expand... Tukazane 2015 tufanye mabadiliko wallah hatapona mtu adhabu yao yaja na ndio maana wanaogopa mno anguko la ccm View attachment 211609
mukulupapaa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 2,930 Reaction score 1,734 Dec 17, 2014 #8 Pale kulitakiwa pemben kuwe na polisi anamaliza kuongea huo utumbo wake anavikwa bangili then segereaaaa
Pale kulitakiwa pemben kuwe na polisi anamaliza kuongea huo utumbo wake anavikwa bangili then segereaaaa