Kaburi Pale Bustani ya Samora

Yalikuwa makaburi mengi pale ualipohamisho hilo yu ndio lilishindikana kuhama ndipo serikali ikaamua libakie tu hapo nila madhara

Wacha uongo, hamkukuwahi kuwa na kaburi pale, bali ni mkakati wa watu fulani kulia timing sehemu hiyo kwa ajili ya kujenga nyumba za ibada na biashara. Kaburi hilo lilijengwa miaka ya mwishoni mwa 1990 / mwanzoni mwa miaka ya 2000. Mwanzoni lilivunjwa lakini watu hao wakaja kulijenga tena wakiwa na malengo ya muda mrefu ya kulitwaa eneo husika kwa manufaa yao.
 
tatizo hamfunguki vizuri,sijui mnaogopa nini?
 
Jina lake aliitwa "mzee daresalama"kipi hujaelewa?tatizo lenu nyie wakuja.hamju historia ya hapa.hata kaburi la mzee mwenge hamjui liko wapi.hata marehemu mzee shekilango hamumjui.ahh rudini kwenu bara huko
Seriously unagongw.a
 

Duh! kama haya ni ya kweli basi kweli dunia ni nouma, yaani mtu anatumia/gharimia kaburi vile kumbe lengo ni baadaye kusema eneo ni letu babu zetu wamezikwa hapo! Sijui kama ndio hivyo nilivyokuelewa
 

unamaana kama ilivyofanyika Arusha kwenye bustani lilipokuwa sanamu la askari wa kumbukumbu ya mashujaa?
 
Tutafute siku mkuu tupitie kiti moto ya kutosha tukalie juu ya kaburi! Majini Makatta, Maimuna yote yatakimbilia uarabuni

Yaan bado natafuta wahusika ni jiji au wilaya ya ilala.Nataman sana hii tenda
 


Hizi habari zinachanganya
lakini yule aliyesema twende Google kweli anakanyagwa
bora kbm umetufungua kwa https://www.jamiiforums.com/habari-...-la-dar-ni-la-nani-na-kwa-nini-lipo-hapa.html
 
Duh! kama haya ni ya kweli basi kweli dunia ni nouma, yaani mtu anatumia/gharimia kaburi vile kumbe lengo ni baadaye kusema eneo ni letu babu zetu wamezikwa hapo! Sijui kama ndio hivyo nilivyokuelewa
Ndiyo hivyo mkuu!, Ukitaka vita basi wewe liguse uone moto wake
 
Jina lake aliitwa "mzee daresalama"kipi hujaelewa?tatizo lenu nyie wakuja.hamju historia ya hapa.hata kaburi la mzee mwenge hamjui liko wapi.hata marehemu mzee shekilango hamumjui.ahh rudini kwenu bara huko

we mzaramo eeh? tatizo nyie wazaramo madomo mareeefu maneno mengi bila kutumia akili, ulisema watu wasearch google "kaburi la mzee wa dar es salaam" umeambiwa tukisearch hivyo google haileti majibu labda useme jina lake halisi, wewew umeng'ang'ana mzee daresalama utafikiri google inafanyakazi kwa kutumia hirizi!!!! naona umekariri tu mzee daresalama haumjui hata ni nani, sijui hata historia gani unayoijua wewe, nikikuuliza hata kaburi la bibi yako mzaa bibi utaanza kulegeza domo tu!:baby:
 
wanipe mimi tenda ya kuhamisha.natafuta vijana tuna gonga mnyama pale pale kisha tunaingia mzigoni "Nothing imposible under the sun "bana

hahahaa,we unaamini maneno ya kijiweni kutoka kwa Leomimi kwamba grader (nadhani alimaanisha excavator) zilikkuwa zinavunjika?!!
 
Last edited by a moderator:
lilishindikana kuhamishwa kivip mkuu?em funguka hapo kwa sisi tusio kuwa na uelewa kuhusu hilo tukajifunza kutoka kwako.
All in all Kiongozi,kuna mtu alikuwa mbunge wa Dodoma na baadae akawa diwani wa kata ya Mchafukoge.Jina lake limenitoka..lakini ...Sagaff,kitu kama Sagaff,wakati wa kuvunjwa makaburi yaliyokuwepo eneo lile,yeye alikuwa mstari wa mbele katika urudishaji wa kaburi husika.Nadhani lilikuwa ni la mmoja wa wana familia yao.Nitajaribu kupata details za ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…