amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 464
The same hereNi miongoni mwa aina ya muziki ambao sijawahi kuuelewa kabisa.
Sehemu kubwa ni MATUSINi miongoni mwa aina ya muziki ambao sijawahi kuuelewa kabisa.
nowdays hakuna wanachokiimba zaid zaidi, utaskia oooiih baabaaaaa wekaa wekaaaaa bahariiiaaa..... na kutaja majina kibao ambayo hayana ata mantiki yoyote
Sipandi masingeli mimi.Huu muziki umekuja kwa kasi sana na kujizolea umaarufu Mkubwa kwenye media na baadhi ya wadau haswa vijana lakini huu mziki naliona kaburi lake 2018 kwa sababu zifuatazo
1. Wadau wakubwa wa muziki huu e FM ambao ndo waliubebea bango wameanza kuupa kisogo air time imepungua kabisaaa
2. Wasanii wengi wa singeli walioupaisha wamekosa management za uhakika na kuwafanya wakitaabika tu mitaani mfano. Man fongo , sholo mwamba
3. Wasanii wa muziki huu hawakai zizi moja hawapendani hawana maarifa na hawajui hata jinsi ya kuuinua muziki huu wakienda kwenye media wana kazi ya kupondana tu hakuna lingine
4. Muziki wa singeli umeanza kupoteza washabiki ambao walikuwa wamevutiwa na baadhi ya vibao vyao
Same hereNi miongoni mwa aina ya muziki ambao sijawahi kuuelewa kabisa.
Muziki wa mabaria ulikuwa mnanda...kama ni bangi basi kule ndo ilikuwa bila iyo kitu huimbi...plus jamaa walikuwa wanaimba kwa hisia mno kama reggae vile, Ndo maana hata namna ya uchezwaji wa mnanda ilikuwa ni kimawazo mawazo mno. Jaribu kutafuta nyimbo za mnanda utaliona hilo. Sio kama hawa watoto wa kiume wanaocheza singeli kutwa kukata mauno ya kike na kubinua migongo....Kiukweli wanaboa sanaNawakubali wanangu was Sarajevo,mwsnangu Ferguson, wekaaa wahuniiiiiiii!! oiiii babaaaaaa
mjinga haeezi kuelewaaaa!!
Bila bangi huwezi kuimba huu humziki