Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Aug 15, 2018 #1 Afghanstan kuona aliejilipua katika chuo kikuu na kuua watu 50 wengi wakiwa wanafunzi wanaojiandaa kwa mitihani. Talaban wanalaumiwa kwa shambulio hili. Wengi wa wapiganaji wa Taliban wanaaminiwa kuwa si raia wa Afghanistan bali ni wa Pakistan.
Afghanstan kuona aliejilipua katika chuo kikuu na kuua watu 50 wengi wakiwa wanafunzi wanaojiandaa kwa mitihani. Talaban wanalaumiwa kwa shambulio hili. Wengi wa wapiganaji wa Taliban wanaaminiwa kuwa si raia wa Afghanistan bali ni wa Pakistan.
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,807 Reaction score 22,633 Aug 16, 2018 #2 si useme tu taliban wamekinukisha upya,wanachukua miji na wapo jirani na kabul
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,270 Reaction score 29,939 Aug 16, 2018 #3 Hao jamaa siju kama wanamjua mungu Naith hao jamaa wana mungu wao wa kipekee
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 25,460 Reaction score 58,116 Aug 16, 2018 #4 Hayo majitu yanaishi kama wanyama. Ni kuyaacha hivyo hivyo na upumbavu wao.
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,588 Reaction score 12,359 Aug 16, 2018 #5 Ambiele Kiviele said: Hao jamaa siju kama wanamjua mungu Naith hao jamaa wana mungu wao wa kipekee Click to expand... Wataliban walikuwa wanaishi kwa amani mbona wa kulaumiwa ni shetani mkuu USA na washirika wake ndiyo chanzo
Ambiele Kiviele said: Hao jamaa siju kama wanamjua mungu Naith hao jamaa wana mungu wao wa kipekee Click to expand... Wataliban walikuwa wanaishi kwa amani mbona wa kulaumiwa ni shetani mkuu USA na washirika wake ndiyo chanzo