eliakeem JF-Expert Member May 29, 2009 15,636 13,772 Dec 10, 2019 #2 Also Hakuna matata to be read as "Hakuna Matatizo".
Tony254 JF-Expert Member May 11, 2017 16,017 16,427 Dec 10, 2019 #3 Geza Ulole said: Click to expand... Huyu jamaa mbona anapenda kulecture watu. Mbona asianze na kulecture Watanzania?
Geza Ulole said: Click to expand... Huyu jamaa mbona anapenda kulecture watu. Mbona asianze na kulecture Watanzania?
eliakeem JF-Expert Member May 29, 2009 15,636 13,772 Dec 10, 2019 #4 Tony254 said: Huyu jamaa mbona anapenda kulecture watu. Mbona asianze na kulecture Watanzania? Click to expand... Hivi unajua kazi yake ilikuwa ni nini kabla ya kuingia kwenye siasa?
Tony254 said: Huyu jamaa mbona anapenda kulecture watu. Mbona asianze na kulecture Watanzania? Click to expand... Hivi unajua kazi yake ilikuwa ni nini kabla ya kuingia kwenye siasa?
tuusan JF-Expert Member Jun 30, 2016 17,973 20,198 Dec 10, 2019 #5 Tony254 said: Huyu jamaa mbona anapenda kulecture watu. Mbona asianze na kulecture Watanzania? Click to expand... Ni proff
Tony254 said: Huyu jamaa mbona anapenda kulecture watu. Mbona asianze na kulecture Watanzania? Click to expand... Ni proff
Barbarosa JF-Expert Member Apr 16, 2015 22,584 27,786 Dec 10, 2019 #6 Hii siajabu itabadilishwa Headline na jina la P.Kabudi kupotea kwenye kichwa cha Habari, sijui ni kwa nini lkn labda ni mimi tu na mtazamo wengu tu.
Hii siajabu itabadilishwa Headline na jina la P.Kabudi kupotea kwenye kichwa cha Habari, sijui ni kwa nini lkn labda ni mimi tu na mtazamo wengu tu.