CONSISTENCY
Senior Member
- Feb 16, 2023
- 196
- 424
Swali zuri.Kwanini mkataba unakua mzuri kwa watu wachache waliopo CCM tu ila unapingwa na asilimia kubwa ya wananchi na wakati wote tupo katika nchi moja?
Hao uliowataja ndiyo wanaoeneza chuki. Sababu zipo wazi.Hivi kweli ninyi wote mmekubaliana na huo mkataba wa kuuza bandari?
Bandari ndio mali kubwa tuliyobakiwa nayo sasa, nchi zote zilizotuzunguka zinatupa heshima sababu zinategemea bandari zetu kupitisha mali na mizigo yao. Ikumbukwe kwamba serikali imekua inatumia pesa nyingi kuirekebisha bandari kila wakati.
Hivi ninyi wanasiasa mnashindwa kutetea mustakabali wa Taifa letu na vizazi vijavyo sababu ya kulinda vyeo na nafasi zenu za kisiasa?
Huo mkataba wa bandari hauhusiani na siasa na kuna raia wengi sana, raia wengine ni wanasheria wazoefu wamekosoa mkataba wa bandari kwa uwazi kabisa kwamba huo mkataba una mapungufu makubwa yenye lengo la kuuza sehem muhim katika nchi yetu.
Kwanini mkataba unakua mzuri kwa watu wachache waliopo CCM tu ila unapingwa na asilimia kubwa ya wananchi na wakati wote tupo katika nchi moja?
CCM mnafaidika nini na huo mkataba hadi mmeamua kuwalinda hao waarabu kwa jambo hatari kwa nchi kama hilo?
Dkt. Bashiru Ally, Humphrey Polepole, Profesa Kabudi, Waziri mkuu Kasim Majaliwa na wazalendo wengineo, ninyi pia mmekubali huyo bibi awazidi akili hadi kufanya jambo la kuhatarisha nchi kama hilo na mpo kimya, ili kulinda nafasi zenu za kisiasa?
Wito wangu kwa watanzania, tujifunze kulinda mali zetu kwa vizazi kwa namna nyinginezo ikiwemo maandamano na migomo kuliko kutegemea wanasiasa washenzi wanaojali matumbo yao ya kifisadi na kusahau hatma kubwa ya nchi na urithi wake.
Hili jambo la bandari haliwezi kupita hivi hivi, lazima tufute huo mkataba kwa heri au kwa shari
For sure lazima libume muda utaamuaWamekaa kimya,maana wanajua hili ni bomu .Ipo siku litalipuka.Siku wafanyakazi wa Bandari wakianza kuandamana kisa kupungunzwa ,siku matokeo yakiwa hasi.
Ndiyo utajua kwa nini waliamua kukaa kimya.Kabudi na kiherehere chake lakini hakuchangia kabisa kwenye azimio hilo.Jua hilo ni bomu,na muda utaamua lini linalipuka.
Ukimya wao ni sehemu ya stamp ya huo mkataba.Wamekaa kimya,maana wanajua hili ni bomu .Ipo siku litalipuka.Siku wafanyakazi wa Bandari wakianza kuandamana kisa kupungunzwa ,siku matokeo yakiwa hasi.
Ndiyo utajua kwa nini waliamua kukaa kimya.Kabudi na kiherehere chake lakini hakuchangia kabisa kwenye azimio hilo.Jua hilo ni bomu,na muda utaamua lini linalipuka.
Wewe bibi unahangaika na udini tu, watanzania wooooote wanaolalakia mapungufu ya mkataba wewe umewazidi akili, hauoni mapungufu kisa dini, akili yako haina akili!Hao uliowataja ndiyo wanaoeneza chuki. Sababu zipo wazi.
Hii bandari jakuna siasa, hakuna raia, ni chuki na ubaguzi wa kijinga.
Ingekuwa nchi ya wazungu ndiyo inapewa mkataba yasingekuwepo yote haya.
Wenye akili washaelewa hilo.
Nilishasema na nitaendelea kusema wasomi ndio wanatuangusha kwenye hii nchiWamekaa kimya,maana wanajua hili ni bomu .Ipo siku litalipuka.Siku wafanyakazi wa Bandari wakianza kuandamana kisa kupungunzwa ,siku matokeo yakiwa hasi.
Ndiyo utajua kwa nini waliamua kukaa kimya.Kabudi na kiherehere chake lakini hakuchangia kabisa kwenye azimio hilo.Jua hilo ni bomu,na muda utaamua lini linalipuka.
Wewe tunajua unasimama upande gani,waarabu ni ndugu zako katika imani lazima uwateteeHao uliowataja ndiyo wanaoeneza chuki. Sababu zipo wazi.
Hii bandari jakuna siasa, hakuna raia, ni chuki na ubaguzi wa kijinga.
Ingekuwa nchi ya wazungu ndiyo inapewa mkataba yasingekuwepo yote haya.
Wenye akili washaelewa hilo.
Dr Msukuma juzi raia wamemchomekea kuwa ni mmojawapo ya waliolamba asali matokeo yake amefyatuka ameonyesha mpaka visivyofaa kuonyeshwaUkimya wao ni sehemu ya stamp ya huo mkataba.
Thubutuu!!Hivi kweli ninyi wote mmekubaliana na huo mkataba wa kuuza bandari?
Bandari ndio mali kubwa tuliyobakiwa nayo sasa, nchi zote zilizotuzunguka zinatupa heshima sababu zinategemea bandari zetu kupitisha mali na mizigo yao. Ikumbukwe kwamba serikali imekua inatumia pesa nyingi kuirekebisha bandari kila wakati.
Hivi ninyi wanasiasa mnashindwa kutetea mustakabali wa Taifa letu na vizazi vijavyo sababu ya kulinda vyeo na nafasi zenu za kisiasa?
Huo mkataba wa bandari hauhusiani na siasa na kuna raia wengi sana, raia wengine ni wanasheria wazoefu wamekosoa mkataba wa bandari kwa uwazi kabisa kwamba huo mkataba una mapungufu makubwa yenye lengo la kuuza sehem muhim katika nchi yetu.
Kwanini mkataba unakua mzuri kwa watu wachache waliopo CCM tu ila unapingwa na asilimia kubwa ya wananchi na wakati wote tupo katika nchi moja?
CCM mnafaidika nini na huo mkataba hadi mmeamua kuwalinda hao waarabu kwa jambo hatari kwa nchi kama hilo?
Dkt. Bashiru Ally, Humphrey Polepole, Profesa Kabudi, Waziri mkuu Kasim Majaliwa na wazalendo wengineo, ninyi pia mmekubali huyo bibi awazidi akili hadi kufanya jambo la kuhatarisha nchi kama hilo na mpo kimya, ili kulinda nafasi zenu za kisiasa?
Wito wangu kwa watanzania, tujifunze kulinda mali zetu kwa vizazi kwa namna nyinginezo ikiwemo maandamano na migomo kuliko kutegemea wanasiasa washenzi wanaojali matumbo yao ya kifisadi na kusahau hatma kubwa ya nchi na urithi wake.
Hili jambo la bandari haliwezi kupita hivi hivi, lazima tufute huo mkataba kwa heri au kwa shari
Spika alikuwa anawaweka sawa, sijamuona kukasirika.Kwa wastaarabu jambo zito kwa jamii kama hili halipigiwi kura ya ndio au hapana. Wabunge huitwa moja moja kwa jina lake na kutamka kwa mdomo wake kama anaunga au haungi mkono. Bunge linkauwa na rekodi ya jumla ya kura zilizopigwa, zilizokubali, zilizokataa na ambazo hazikuwa na msimamo
Wananchi tunayo haki ya kudai majina ya walioafiki, ambao hawakuafiki na popo wasio na upande. Kwa mara ya kwanza kabisa Spika wa Bunge ameonekana kukerwa na hoja za upinzani na kugeuka judge, jury...all in one! Amechukua nafasi ya Waziri Mkuu kuitetea serikali kulinda maslahi yake.