Kabudi asaliti maneno yake avaa barakoa huku Beberu likimkabidhi kitabu cha muasisi wetu

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Kabudi huyuhuyu jameni ambaye tarehe 21 may pale dodoma alimsifia JPM kwa kumpa ujasiri wa kutovaa barakoa leo kaonekana katinga barakoa na mbaya zaidi akipokea kitabu cha kumuhusu Nyerere kutoka kwa beberu wakati ilitakiwa iwe vice versa...dah kwa kweli hii awamu ni kituko.
kabudi.JPG
 
Hayo ni matusi makubwa sana ; kwani wizara ya mambo ya nje haina uwezo wa kununua hivyo vitabu vya muasisi wa Taifa letu? Mambo mengine yanatuabisha sana. Leo hii balozi wetu anaweza kuthubutu kumpa zawadi mfaransa wa kawaida leave alone rais Macron zawadi ya kitabu cha Charles de Gaulle?
 
Back
Top Bottom