Hapo ni kabla ya kifaa kinachoitwa stethoscope hakijagunduliwa madaktari walitumia njia hii kusikiliza mapigo ya moyo na kujua kama mapafu yanashda
Sipati picha mpaka karne ya leo hicho kifaa kingekuwa hakijagunduliwa...
View attachment 387725
Hapo ni kabla ya kifaa kinachoitwa stethoscope hakijagunduliwa madaktari walitumia njia hii kusikiliza mapigo ya moyo na kujua kama mapafu yanashda
Sipati picha mpaka karne ya leo hicho kifaa kingekuwa hakijagunduliwa...
Hadithi hii inafanana na fundi nguo kutumia " tape measure" kuhakiki ukubwa wa kiuno cha mteja wake.
Kwa hiyo stethoscope isingekunduliwa pasingeonekana tofauti yoyote daktari kumkumbatia mgonjwa wake na kumsikilizia mapigo ya moyo mgongoni kwake.