Kabla ya ndoa yangu!

Kabla ya ndoa yangu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Muda mchache kabla ya ndoa
yangu nilikuwa nashangaa mdogo
wake na Mke wangu alikuwa
ananivalia nguo za kunitega sana!
Siku moja nilikwenda kwao
nikamkuta peke yake akiwa amejifunga kanga moja!
Aliponiona akaniambia afadhali
nimekuona shemeji nataka nikupe
kitu ambacho ni zaidi hata ya
Dada yangu akaingia chumbani mi
nikatoka nje kufika getini nikakuta familia yote ya mke wangu
wakanipongeza Hongera
umeshinda mtihani tuliokupa!
Kweli hutomsaliti Binti yetu!
Lakini kusema ukweli kabisa
kutoka rohoni kwangu nilikuwa naelekea DUKANI KUNUNUA
CONDOM!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom